Namba 40 ina siri gani?

Namba 40 ina siri gani?

Jumapili ya Bwana.

Naomba tujuzane
Yesu alifunga siku 40.
Elia alifunga siku 40.
Siku za mwizi ni 40.
Waisraeli walitembea miaka 40.
40 ya marehemu?

Hii namba 40 ina nini??
Wajuvi wa mambo mtujuze

Namba 12 pia naona imeappear mara nyingi
 
Back
Top Bottom