mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 277
- 548
Huyu namuongelea hapa ni mtu mzima tu na familia yake, sio mtoto mdogo na ni mtu mwenye kazi na afya yake njema tu.
Inaweza ikapita hata miaka miwili hajakutafuta, lakini siku akikupiga simu au kutuma ujumbe wa maneno basi kwa hakika ni lazima itakuwa anakuambia kabanwa ana shida/tatizo na kuwa anaomba msaada.
Nimevumilia sana ila kwa sasa yamenifika shingoni, nimechoka.
Wakuu tupeane abc mnadeal vipi na mtu au watu wa aina hii?