Unacheka kwa furaha? Hauna jipu? Maana kutumbua majipu ndo habari ya mjini.Hehehe niko kanisani kaka, mchungaji kachelewa kuanza ibada nikajikuta humu. Nimekumbuka zamani zile nikacheka kwa furaha
Kwa kuniangalia mimi si mtu sahihi?Hope now umepata mtu sahihi eeh
Unacheka kwa furaha? Hauna jipu? Maana kutumbua majipu ndo habari ya mjini.
Nakukumbusha hii ni Kwaresma
Hommie aliyetumbua hili jipu ni SHERRIF ARPAIO. Uanataka kunithibitishia pasi na shaka huyu King'asti ameslim kipindi hiki cha mateso msalabani?King'asti umetokapi kwenye hii sredi ya 2009? Hata twende kanisani haraka
Kanisa lako ndo lile la chemchemi ya maji ya uzima? Nataka nijiunge na kwaya.... nimeona vipaji hasa kwenye sauti ya kwanza. mi ni kwaya masta mzuri sana niliyetukukaI am as clean as a slate. Nilishajitumbua zamani, niko swaaaf. Najichekea tu mie. Na Yesu aliniokoa kwa hiyo furaha kama chemchemi za uzima (usiulize maana yake)
Umesema? Mbona unanishtua hiviHommie aliyetumbua hili jipu ni SHERRIF ARPAIO. Uanataka kunithibitishia pasi na shaka huyu King'asti ameslim kipindi hiki cha mateso msalabani?
Mimi nimeelewa maana yake vipi finnally mch alifika?lolI am as clean as a slate. Nilishajitumbua zamani, niko swaaaf. Najichekea tu mie. Na Yesu aliniokoa kwa hiyo furaha kama chemchemi za uzima (usiulize maana yake)
... Na pazia la hekalu likapasuka naye akasema YAMETIMIA.Umesema? Mbona unanishtua hivi
Ngoja.nimsubiri Galilaya... Na pazia la hekalu likapasuka naye akasema YAMETIMIA.
He hee usahihi wako ni upi?Kwa kuniangalia mimi si mtu sahihi?
Lol lol lolHommie aliyetumbua hili jipu ni SHERRIF ARPAIO. Uanataka kunithibitishia pasi na shaka huyu King'asti ameslim kipindi hiki cha mateso msalabani?
Amenipata mimiHe hee usahihi wako ni upi?
Nyoooo!Amenipata mimi
Unafikiri ni wote wenye roho mbaya kama wewe?Nyoooo!
Babu mi nnaroho mbaya mimi babuUnafikiri ni wote wenye roho mbaya kama wewe?
Roho mbaya na mchoyo. Umeninyima mara ngapi?Babu mi nnaroho mbaya mimi babu
Umenichekesha sana mkuuHommie aliyetumbua hili jipu ni SHERRIF ARPAIO. Uanataka kunithibitishia pasi na shaka huyu King'asti ameslim kipindi hiki cha mateso msalabani?
Umenichekesha sana mkuuHommie aliyetumbua hili jipu ni SHERRIF ARPAIO. Uanataka kunithibitishia pasi na shaka huyu King'asti ameslim kipindi hiki cha mateso msalabani?
Sio kila jipu lazima litumbuliwe na anko Magu au kazin Maja.Umenichekesha sana mkuu
Yaani hilo nalo ni jipu?
Nimekupata mkuuSio kila jipu lazima litumbuliwe na anko Magu au kazin Maja.