Hapo Mwana tafuta kipoozeo cha pembeni anakuwa spare tyre ukiona uvundo unajirestisha kwa spare wewe huoni hata mafiga yapo matatu.
Habari yako banaa usisahau niko kule i am watching
Huu wimbo mtamu sana aiseeUnavua pendo, unavaa pendo....ndo dawa!
Lol!!Nani mvua pendo hapa.....
Lol!!
Nani mvua pendo hapa.....
avatar ya Mwana jamii imetulia!
Inaelekea pendo limevaliwa upyaaaa!!
Mtoa mada St.
Avatar inaonesha pendo jipya limevaliwa..)
Kwa umri wangu hata mtoa mada sijamjua....nisaidie kumjua halafu unijulishe...
closer...closer!.
Orait....asante kwa kunisaidia kumjua mvua pendo...
Kama mapenzi ndio haya,naona bora nikimbie
Naona sura ya furaha, iweje leo anibadilikie
Nimechoshwa na vituko na vipigo, majeraha kila siku mpenzi wanguu
Hivi kwa niniiiii, eh eh huniaminiiiiiiiiiiiX 2
Orait....asante kwa kunisaidia kumjua mvua pendo...