hehehehe Nyamayao na hit na kurun totozi kama zile za mabibo au main campus au pale IFM na n.k lakini huyu ndo atakuwa mwandani maisha yangu namkabidhi yeye akitaka anitafune au animeze kabisa.
MJ1 hebu msaidie Fidel huku jamani....ckujua uki approach unatia huruma hivyo...lol, ndege mjanja.
any update mwanaj1?
Yo Yo am still hanging on a thin thread my dear thanx for your concern.
Guys have been confusing me more wapo walosema nivumilie kwani ndoa si lelemama na nikumbuke wazazi wetu wamepitia mangapi hadi sasa wako pamoja (nisifikiri wao walikuwa wanakula bata tu kila siku) So nigangamale kama mwanamke!!
Others mmeniambia nisikilize moyo wangu yaani kama nataka kutimua basi nianze bila kumtizama wala kukumbuka nyuma (ukitaka kumkoma nyani giladi, usimtizame usoni si ndiyo). Mh matters of the heart .............
Since the situation in the house doesnt seem to change(bado hali ni ile ile-nafikiri anasubiri nitakapoamua kubeba rambo zangu ndo azungumze maana zaidi ya salamu hakuna kitu ni za saa hizi... za asubuhi full stop!! mimi nikimwambia I need to talk to you hanijibu kitu na akija anaendelea tu na shughuli zake so am stranded!!
MJ1 hebu msaidie Fidel huku jamani....ckujua uki approach unatia huruma hivyo...lol, ndege mjanja.
Mama bado hifadhi yako ipo pale pale usilazimishe kwa mtu ambaye hakupendi ana kudharau why kwa nini uteseke? jamani kidonda hicho mimi ndo tiba yake mama.
kwani kisa kilianzia wapi? ilikuwaje mpaka akatamka maneno yale? au kuna kingine siri yako?maana zaidi ya salamu hakuna kitu ni za saa hizi... za asubuhi full stop!! mimi nikimwambia I need to talk to you hanijibu kitu na akija anaendelea tu na shughuli zake so am stranded!!
kwani kisa kilianzia wapi? ilikuwaje mpaka akatamka maneno yale? au kuna kingine siri yako?
mna muda gani ndani ya ndoa?
kama unaweza jus PM.......i can help kwa ushauri.............. Ni kisa kidogo sana ambacho hata mtoto mdogo atashangaa ila kwa sababu za usalama wangu plz I cant put it here- in case anapitiaga humu!!.
Mh nyamayao dada yangu hiyo sentensi ya Fidel imenifanya nisahau machungu japo kwa dakika moja- eti nikitaka kumtafuna nimtafune .... ah haya tena makubwa ila moyo wangu umekufa ganzi mwenzenu wote nawaona wa baba mmoja!
huo ndio ukweli, hata ukitoka hapo ucdhani huko uendako mambo yatakuwa tambarare kama ulivyosema"wote wa baba mmoja".....
kama unaweza jus PM.......i can help kwa ushauri...
...... Ah Fidel basi taratibu mwenzangu maana speed yako inanitisha mie bado mke wa mtu ujue hivyo
Sawa kwani nimekataa je lakini mzee akiamua kukulima talaka utafanyaje mama? Sawa kuna kijana anakuja kwa moto mkali anaitwa Sipo naona anahatalisha usalama wangu ndo maana nipo speed.
Hivi MJ unajua limbwata?
Yo Yo am still hanging on a thin thread my dear thanx for your concern.
Guys have been confusing me more wapo walosema nivumilie kwani ndoa si lelemama na nikumbuke wazazi wetu wamepitia mangapi hadi sasa wako pamoja (nisifikiri wao walikuwa wanakula bata tu kila siku) So nigangamale kama mwanamke!!
Others mmeniambia nisikilize moyo wangu yaani kama nataka kutimua basi nianze bila kumtizama wala kukumbuka nyuma (ukitaka kumkoma nyani giladi, usimtizame usoni si ndiyo). Mh matters of the heart .............
Since the situation in the house doesnt seem to change(bado hali ni ile ile-nafikiri anasubiri nitakapoamua kubeba rambo zangu ndo azungumze maana zaidi ya salamu hakuna kitu ni za saa hizi... za asubuhi full stop!! mimi nikimwambia I need to talk to you hanijibu kitu na akija anaendelea tu na shughuli zake so am stranded!!
Limbwata?... nalisikiaga kaka silijui ... eh tell me more about it!
Leo hata sijui niseme nini? Nasikia kichwa kinaniuma kama kuna mtu ana panadol please aniPM
............... Pole Kaizer umepata panadol?
Leo hata sijui niseme nini? Nasikia kichwa kinaniuma kama kuna mtu ana panadol please aniPM
Mpige nalo hilo atanywea mwenyewe atatulia saa 12 atakuwa yupo ndani, atakusaidia mpaka kufungua nguo na kupika.