babatovu
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 2,739
- 1,602
Sasa wewe hata kuandika tu ni shida unaanzaje kumshauri mwenzio kusoma?Mtoa Mada ungesoma mambo uyaelerwe ndo ulete uzi sio kukurupuka
soma mipaka ya kimamlaka baina ya mihimili ya dola
By the way, nafasi ya katibu mkuu inajazwa lini?