Naliona anguko la mbunge wa Mbeya Mjini

Join Date : 20th April 2013!

Anti Vuris inakuhusu! Nenda kamuulize Abbas Kandoro akupe yaliyomkuta!



 
ulikuwa unataka kusema nini mkuu?hivi hizi tafiti huwa zinafanywa wapi?au mtu ukimka tu mawazo yako yanakuwa ya wapiga kura 60,000.hivi hao wabunge wa ccm kipindi chote walichokuwa na jimbo walifanya nini?na kwanini hawakuchaguliwa?
Mkuu ndo maana nikasema kuwa mwisho wa sugu nao waja kama walivyoondoka wenake wa ccm kwani mbeya mjn tunaendelea kutafuta hatujapata mbunge wa kutusaidia tutaendelea kujalibu day to day.
 
Nakanusha uyasemayo nipo Soweto mbeya!!!mabadiliko tunayaona,pia sugu kaanzisha mfuko wa elimu unawasaidia watu,Hospital ya Meta kulikuwa hakuna vitanda now vipo,tangu kuumbwa kwa dunia mbeya kulikuwa hakuna lami katika mitaa zaid ya main road now zinatengenezwa,useme hiyo kaul ukiwa mbeya utapigwa mawe aisee

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
majangili tu nyinyi, mwisho wa ujangili unakaribia...
 
Mkuu tupeane cm kesho tukutane uyole ntakuwa natoka kyela na hayo mambo tiss mimi hayanihusu wala siwajui kwanza watu wenyewe wanafanya kazi kwa kujificha halafu mimi nihangaike nao,mi naongelea mbeya na taifa letu.
 
Humu kuna siasa za majungu.mwambieni Jangili Kinana Akagombee.
 
kwani wabunje wa ccm wenyewe wamefanya na ndo wenye serikali....bora hata sugu kajitahidi kuanzisha mfuko wa elimu mbeya kusaidia watoto wa masikini wasome mpaka vyuo vikuu lakini pia tayari mfuko huo umeanza kuandaa madarasa kila shule ya kata kuwa na comp lab na kwa kuanza wamepata comp 100 ambazo muda si mrefu zitanza kupelekwa mashuleni..... msilopoke tu mengine muwe mnauliza!!
 
Siku hizi kuna akina sheigh Yahya Magambani ..vp Mwakembe na Silinde?
 
Acha uongo meta hospito niwahi kwenda nikiwa nasoma iyunga kumsalim dada alikuwa ktk kitanda unaongea meta ipi,barabara wanajenga h/mashauri siyo sugu we vipi acha uchanga wa mambo.
 
Wabunge wengi sana wa chadema hawatarudi bungeni baaada ya uchaguzi ujao, watamaopona ni mnyika, zitto, na pengine kwa mbali mbowe aka disko joker
 
Acha uongo meta hospito niwahi kwenda nikiwa nasoma iyunga kumsalim dada alikuwa ktk kitanda unaongea meta ipi,barabara wanajenga h/mashauri siyo sugu we vipi acha uchanga wa mambo.

hueleweki,sasa ulitaka Sugu afanye nini? KWELI MAGAMBA NI MAITI.
 

Haya buku 7 tayari imeingia hapa Lumumba endelea
 
Mtaalamu mmoja wa lugha aliwahi kusema kuwa watu wengi hasa waafrika hawataki watu wao wasemwe kwa chochote hata kama wanamapungufu ndicho ninachokiona kwa baadhi ya watu humu jf.

he! Suala la lugha linaingiaje tena hapa! Jamani hizo pesa mnazopewa na Nape mzitumie vizuri, ni sehemu ya kodi zetu!
 
si wewe tuu unaliona,ruge aliliona sana hasa pale 2proud alipopiga chini kituo kilichokua hot kwa matozi.hadi leo ukimuuliza maono yameishia wapi atakuambia yupo busy na jk na magamba angalau apate ujjuu wa wilaya wakati sugu ndio anampangia pale mjengoni sheria za hakimiliki na kuzuia wizi kwa wasanii kunakofanywa na wezi clouds.
 
Hata kadi ya ccm siijui inafananaje wasiwasi wako tu sipo huko unapofikiria ila kwa sababu ccm ndo wanafanya usilale shauri yako,nambie uzaifu up wa viungo au wa kitu gani jipambanue siyo unaandika vipande vidogo kama mazoea mitomingi.

no no no! USIPANIKI, Anza ku vote kwa kulinganishe post zinazotetea na zinazomkataa!
Usisahau kuleta feedback!
 

kaka usemayo yana ukweli sugu alizidi kuteka vichwa vya watu pale tu alipopigania na kuwatuliza wamachinga wa soko la mwanjelwa walipokuwa wakionewa na migambo,hata hivyo mby kwa kiasi kikubwa chadema ndio ipo kwenye vichwa vya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…