Watanzania
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 727
- 44
A little while ago one of the cream of analytical politics of Tanzania had this to say with regard to the so called Kibanda;
Baada ya mashinikizo, vitisho, vitimbi na kejeli za kila aina kutoka kwa "Mhariri mtendaji" wa gazeti la TanzaniaDaima Absalom Kibanda hatimae Zitto Kabwe ame succumb to the pressure na kuondoa jina lake kwenye kinyang'anyiro cha ugombea wa uenyekiti wa Chadema.
Tukirudi nyuma kidogo na kuangalia mlolongo wa matukio kuelekea Zitto kujitoa, jina la Bwana Kibanda linachomoza mithili ya mnara wa kuongozea meli bandarini.
Huko aki defy obvious principles za conflict of interest Kibanda akishirikiana na "Baba mkwe" mzee Mtei wameweza kum bully Zitto na hata kufikia kujaribu "kumhonga" cheo (kama alivyonukuliwa Zitto mwenyewe).
Kibanda amei aibisha fani ya uandishi, yeye mwenyewe, Mbowe na Chadema kwa ujumla kwenye sakata hili ambapo demokrasia imechinjwa wazi wazi mchana kweupe.
Unless Kibanda anafikiri atafanya kazi TanzaniaDaima maisha yake yote labda ndio amefanya hayo aliyo yafanya lakini kama kutakuwa na maisha nje ya TanzaniaDaima basi what we have seen is just the beggining of the end of Absalom Kibanda.
Time will tell....
Tena si ajabu wapo wanaotcomment kwa lugha kali hapa wakati Zitto mwenyewe hata hawajapata kumtia machoniWatanzania,
Mkuu sijui unazungumza madudu gani!
hakuna mtu anayemkataza Kibanda kumshauri Zitto hata kidogo isipokuwa kuja hapa JF kumvua nguo Zitto ukamwacha Uchi kisha mnadai kuwa huu ni ushauri come on noiw..Kisha mtu mwenyewe ni mwajiriwa wa Mbowe na hoja inahusu Zitto kugombea kiti cha mwajiri wake!..
Sisi sio wajinga kiasi hicho mkuu wangu. Kibanda anamjua Zitto vizuri ana wanaweza kutana wakati wowote akitaka iweje hapa JF iwe ndio ukumbi wa kusuluhisha matatizo ya Chadema. Kilichotendeka hapa ni Kibanda kuondoa uaminifu wake wote kwa Zitto na hata kutufanya sisi wengine tuanze ku question uwezo wake wa kufikiria.
Na swala hili lisingekuwa kubwa kama sii Kibanda kuanzisha maduidu yote haya kisha mnataka kudai ati mnakisaidia chama! Upouuzi huu niliosoma humu ndio mnadai kusaidia chama.. duh ama kweli tuna safari ndefu sana.
Tena si ajabu wapo wanaotcomment kwa lugha kali hapa wakati Zitto mwenyewe hata hawajapata kumtia machoni
Watanzania,
Kibanda anamjua Zitto vizuri ana wanaweza kutana wakati wowote akitaka iweje hapa JF iwe ndio ukumbi wa kusuluhisha matatizo ya Chadema... Upouuzi huu niliosoma humu ndio mnadai kusaidia chama.. duh ama kweli tuna safari ndefu sana.
Tena si ajabu wapo wanaotcomment kwa lugha kali hapa wakati Zitto mwenyewe hata hawajapata kumtia machoni
Mkuu kuna kitu hakipo sawa CHADEMA mkuu, na next year ndo itadhihirisha hiyo. CCM napo mambo si shwari, cjui tunaelekea wapi tanzania katika wigo wa siasa.Wakuu; Kibanda hajaanguka, zitto hajaanguka... sasa nani hasa ameanguka?? au ndiyo ukuaji wa demokrasia
Mkuu kuna kitu hakipo sawa CHADEMA mkuu, na next year ndo itadhihirisha hiyo. CCM napo mambo si shwari, cjui tunaelekea wapi tanzania katika wigo wa siasa.
Nadiriki kukubali maneno ya mwalim aliposema upinzani wa kweli utatoka CCM.Kibaya zaidi ni naibu katibu tu ndiye anayesikika halafu wakuu wa meza wako kimya hata kipindi hiki kigumu.... sasa hebu fikiria ukiwapa nchi itakuwaje!!!
Nadiriki kukubali maneno ya mwalim aliposema upinzani wa kweli utatoka CCM.
Siku ya Jumatano iliyopita tarehe 12.1.2011, Kibanda alitoka na habari katika gazeti la Tanzaniakama Sitta angekuwa waziri kipindi cha waziri mkuu msitaafu Msuya angemfukuza kazi. Akadai pia kuwa Sitta ni mtu mwenye chuki isiyoisha hata kutishia maisha ya watu na familia zao. Zaidi ya hayo Kibanda alidai kuwa wenye mtazamo sawa na Sitta ni wajinga. daima kuwa Sitta hafai kuwa waziri kwa vile ameshindwa kuonyesha uwajibikaji wa pamoja katika baraza la sasa la mawaziri. Alienda mbali zaidi kwa kudai kuwa
Lakini siku ya Ijumaa, 14.11.2011 waziri mkuu mstaafu Msuya alikariririwa na gazeti la Mwananchi kwa habari ndefu kuwa anamwamini sana Sitta kuhusu kwa msimamo wake juu ya Dowans kwa vile ki-taaluma ni mwanasheria na pia ameongoza Bunge la Muungano wa Tanzania. Cha ajabu ni kuwa Kibanda alimwona Sitta kama mtu mwenye chuki zisizoisha huku yeye mwenyewe Kibanda akionyesha chuki za waziwazi dhidi ya Sitta. Kibaya zaidi anatumia hoja dhaifu kuhalalisha chuki yake kwa Sitta. Kwanza hakuna mahala popote ambapo mawaziri katika serikali ya sasa baada ya uchaguzi wamekaa kujadili kama baraza la mawaziri kuhusu hukumu ya ICC kati ya mafisadi Dowans na Serikali ya CCM. Kwa hiyo suala la uwajibikaji wa pamoja halipo kwa sababu mawaziri hawajawahi kukaa na kujadili na kuwa na uamuzi wa pamoja kuhusu hukumu ya ICC. Pili suala kwamba Msuya angemfuta kazi Sitta halina nguvu kwa kuwa hakuna maamuzi ya pamoja ya mawaziri kuhusu suala hilo la hukumu ya ICC. Vilevile, Msuya amemshushua Kibanda pale alipomfagilia waziwazi Sitta kwa kumweleza kuwa ni waziri mwenye uelewa wa mambo kuhusu Dowans na Katiba ya nchi. Kwa ujumla, habari ya Kibanda ya Tuendako ya Jumatano iliyopita inaonyesha namna Kibanda anavyoendeshwa na chuki katika kuandika habari zake. Anajionyesha kama mwandishi asiyefaa kwa sababu ya kujawa na chuki. Ni vema Kibanda akajirekebisha ili aandike habari zilizo na chuki za waziwazi.
He's on RA's payroll I have refutable proof about it and I dare you (kibanda ) to challenge it !!
Mhandisi