Kwa kazi hii uliyomfanyia Mbowe(Mkurugenzi wako) ya kummaliza Zitto sidhani kama deni alilokukopesha atakudai tena.
swali jee makala haya ya kumchafua Zitto kabwe na kina KITILA ndio ulikuwa unataka huruma ya MKURUGENZI WAKO juu ya deni alilokukopesha?
KIBANDA umewahi kuandika makala kwenye Tanzania Daima juu ya siasa za Mbeya na Makundi yaliyopo kumsakama Mwandosya naomba ubishe hili?
jana hukuonekana hapa jamvini au ulikuwa kwenye PARTY ya kupongeza ya kamati ya Mbowe?
Tatizo lako kibanda ni kwamba umeonyesha dhahiri kumshambulia zitto kwa sababu kaamua kupambana na mkurugenzi wako.
Kwenye makala zako uliandika kuwa mmekuwa mkishauriana sana na zitto katika mambo mengi lakini hilo la kuchukua fomu za kugombea uenyekiti wa chadema ili achuane na mkurugenzi wako hakuwahi kukushirikisha.
Yaani unataka tuaminu kwamba wewe ndo unamuamlia nini cha kufanya?
Halafu jinsi usivyo na aibu unawashambulia watu wengine wengi tu kwa sababu ya maslahi yako binafsi.Au ndio tuamini kwamba kama mbowe hatokuwa mwenyekiti wa chadema gazeti la tanzania daima haliwezi kujiendesha?inawezekana ruzuku ya chadema ndiyo inaliendesha gazeti kwahiyo usingetaka kuona kwa namna yoyote ile mirija ya ulaji inakatwa hivi hivi ukishuhudia.
badala ya kuzungumzia mambo ya msingi, sababu za msingi za kushauri kwanini zitto asigombee uenyekiti umeishia kupiga majungu tu.
Kwa jinsi ulivyomshambulia zitto sishangai maneno ya watu kwamba uko kwenye pay roll ya mafisadi. Sasa vijana wa chadema unawatukana bila aibu?hivi wewe kibanda unaweza kusema una credibility ya kumfikia zitto? au kumfikia Dr. Kitila?yaani sashivi umekuwa mhariri wa hovyo kabisa.
Mwenyekiti kasema na matumizi mabaya huku ufisadi ukikitafuna chama kwa matumizi hewa na kwa kigezo eti wanajilipa madeni ya kampeni za mwaka 2005.
Alisisitiza kuwa madeni hayo hayatambuliki katika mfumo wa chama kwani Mbowe alikuwa anakopa hizo pesa mwenyewe, anatumia mwenyewe bila kuingiza kwenye mfumo wa chama na analeta madeni kwenye chama ili alipwe.
Lakini Mh. Wangwe alimweleza kuwa kila mtu aliyegombea mwaka 2005 alikuwa ametumia pesa je kila mgombea aliyeshinda au kushindwa aje kuleta madeni ya fedha alizotumia katika kampeni ili alipwe.
Na baadae ilidhihirika kuwa sehemu kubwa ya madeni anayodai kutaka kulipwa na chama ilikuwa ni michango ya wapenzi ili kufanikisha kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2005.
Kwa hiyo anapewa michango ya watu wanaokitakia mema chama, anasema amekikopesha na baada ya uchaguzi anadai kusamehe sehemu ya pesa hizo na kudai arudishiwe zingine.
Kwa kutumia mbinu hiyo watu waliona huyu ndio anafaa kuwa kiongozi wao kwani anaweza kujitolea katika chama kumbe mara nyingi anafanya usanii na watu wanaaminishwa usanii wake huo.
Hamna shida kanda mbili,Kwa mujibu wa KIBANDA kasema kuna wageni wa ajabu ajabu Chadema ambao Chadema inabidi iwachunguze sana. unajua kama na wewe mmoja wapo? toka umepewa kadi hata miezi mitatu haijafika, KIBANDA yuko makini hata ujikombe kwake.unaibu katibu mkuu huwezi kupewa.hujawahi kuhudhuria mkutano wa Chadema huu ndio mara yako ya kwanza, unawafanya Chadema wajinga wakupe cheo kienyeji? umefulia Chadema ina wenyewe.
May be kasome Uhuru gazeti lizilo na habari zaidi ya propaganda za kijani/#1If this is the case then who should wee trust? Mbowe is accused of using Kibanda as well as free media for his personal interests, and so does Reginald Mengi; Rostam Aziz is also accused of using his media outlets for political gains and so does His Highness Aghakan etc.
Sasa tusome nini? Maana sasa inachanganya zaidi kwa mujibu wa yanayozidi kuandikwa kila siku kuhusu wahariri wetu japo sijui kama yana ukweli kiasi ghani.
Pasco kama hii ndio ilikuwa ni ajenda yake then nilipoweka dots jazia waha. Na hivyo basi hakuwa mtu genuine.Mimi binafsi naamini Zitto ni genuine na aliamini anaweza kuisaidia Chadema kulivua koti la Uchagga na kuivisha mavazi ya ................
Kwa kazi hii uliyomfanyia Mbowe(Mkurugenzi wako) ya kummaliza Zitto sidhani kama deni alilokukopesha atakudai tena.
swali jee makala haya ya kumchafua Zitto kabwe na kina KITILA ndio ulikuwa unataka huruma ya MKURUGENZI WAKO juu ya deni alilokukopesha?
KIBANDA umewahi kuandika makala kwenye Tanzania Daima juu ya siasa za Mbeya na Makundi yaliyopo kumsakama Mwandosya naomba ubishe hili?
jana hukuonekana hapa jamvini au ulikuwa kwenye PARTY ya kupongeza ya kamati ya Mbowe?
Kibanda, hili la kutumiwa kumshambulia Spika Sitta vipi? Nalo limevuma sana.
Jana Zitto amethibitisha uchanga wake katika JF. Your chairman material anatamba kwa kusema kuna vijana ndani ya Chadema kama Mnyika na Mrema wanamuonea wivu kwa sababu ya umaarufu wake. Hiki ni kichekesho na utoto wa mwaka ambao unaweza kushangiliwa na wajinga kama wewe kandambili peke yako na wajinga wenzako.
Endelea na kejeli zako za Kigoma lakini ujue kwamba hatua ya kwanza ya Anguko la Zitto imeshatokea, amezuiwa kuibeba ajenda ya kuwanufaisha maadui wa Chadema. Amethibitishiwa tu kwamba kumbe umaarufu si kila kitu katika siasa. Wazee wametumia busara na kwa taarifa yako katika kikao cha hao wazee mchagga ni Mzee Mtei mnayemsakama.
Tulishagundua ujinga wenu kwamba mnatumiwa pasipo ninyi wenyewe kujua. I'm a man of principles, sina sababu ya kushangilia ujinga na utoto kama huu ambao mnaufanya wewe, Zitto na wenzako. Mmeangushwa na sasa mnaona haya.
Kupewa mkopo ni haki yangu ya msingi na ninastahili lolote la zaidi hata kama ni huo msamaha. Kwa taarifa yako kwa kufanikiwa kumzuia Zitto na wapambe ambao hamumtakii mema yeye binafsi na ambao mko tayari kuua mafanikio makubwa ya Chadema chini ya uongozi wa Mbowe, tumeinusuru Chadema na tumewakaba koo ninyi mawakala wa CCM na wa idara yenu ya makachero.
Kidogo kidogo ujinga wenu unajifunua. Ole wenu upumbavu unaelekea kuwakumba kwa sababu mmekumbatia upuuzi.
Thank U..yaani sina la kuongezea. Hii ndio taabu ya vijana wadogo kuchukua madaraka makubwa wasijue wajibu wao..Kibanda, nimependa ukweli wako na daring yako kaka!! wasiwasi wangu ni:
Je hauoni wewe kuja kushambuliana na kusutana na watu humu jamvini kuhusu mambo yenu ya ndani ni hatari kwa chama chenu?
Hamuoni mnaanza kuanika personalities zenu humu??
Sasa kwa staili hii, inawezekana kweli ukatoa fair appraisal au article that will be positive to Zitto na wenzake??
Where is the party protocol in addressing leaders issues?
Kwa jinsi ulivyoongea humu, it is deffo that Zitto has no place in CHADEMA, na umeshangilia anguko lake!! Who do you represent in all this??
Siri za ndani, bakizeni ndani!!! Haya mngeachia wakuu waje wayaweke smooth, not sure you were the right person to come up and expose things
Kanda 2 tangu ulipospin thread yako kwamba namsakama Zitto na kisha nikaona michango yako mbalimbali ndani ya thread hiyo mara moja nilibaini kwamba wewe ni miongoni mwa vijana wajinga niliokuwa nimewataja ambao waliamua kumuunga mkono Zitto.
Jana Zitto amethibitisha uchanga wake katika JF. Your chairman material anatamba kwa kusema kuna vijana ndani ya Chadema kama Mnyika na Mrema wanamuonea wivu kwa sababu ya umaarufu wake. Hiki ni kichekesho na utoto wa mwaka ambao unaweza kushangiliwa na wajinga kama wewe kandambili peke yako na wajinga wenzako.
Endelea na kejeli zako za Kigoma lakini ujue kwamba hatua ya kwanza ya Anguko la Zitto imeshatokea, amezuiwa kuibeba ajenda ya kuwanufaisha maadui wa Chadema. Amethibitishiwa tu kwamba kumbe umaarufu si kila kitu katika siasa. Wazee wametumia busara na kwa taarifa yako katika kikao cha hao wazee mchagga ni Mzee Mtei mnayemsakama.
Tulishagundua ujinga wenu kwamba mnatumiwa pasipo ninyi wenyewe kujua. I'm a man of principles, sina sababu ya kushangilia ujinga na utoto kama huu ambao mnaufanya wewe, Zitto na wenzako. Mmeangushwa na sasa mnaona haya.
Kupewa mkopo ni haki yangu ya msingi na ninastahili lolote la zaidi hata kama ni huo msamaha. Kwa taarifa yako kwa kufanikiwa kumzuia Zitto na wapambe ambao hamumtakii mema yeye binafsi na ambao mko tayari kuua mafanikio makubwa ya Chadema chini ya uongozi wa Mbowe, tumeinusuru Chadema na tumewakaba koo ninyi mawakala wa CCM na wa idara yenu ya makachero.
Kweli wewe kilaza, kumbe unaandika mambo ambayo hujayafanyia utafiti. Sijapata kuandika makala ya kumsakama Mwandosya bali niliandika makala dhidi ya Kikwete na kumuuliza ana nini na mkoa wa Mbeya? Nikamhoji ni kwa nini ameamua kuteua mawaziri wawili kutoka wilaya moja (Mwandosya na Mwakyusa?)
Mwenzako aliyeweka thread hii amenisakama kwa kuendelea kulia na kumuombolezea Mwandosya tangu alipoangushwa na Kikwete na wewe unaandika nimemsakama Mwandosya. Upuuzi mtupu. Ninyi ni vijana ambao uwezo wenu wa kufikiri umepwaya endelea kujianika JF, mwisho tutaacha kusoma kila aina ya upuuzi unaotuwekea.
Kidogo kidogo ujinga wenu unajifunua. Ole wenu upumbavu unaelekea kuwakumba kwa sababu mmekumbatia upuuzi.
Thank U..yaani sina la kuongezea. Hii ndio taabu ya vijana wadogo kuchukua madaraka makubwa wasijue wajibu wao..
Pili nimesikitishwa na uongo wa wazi unaoenezwa na baadhi ya wanajamvi kwamba eti nimenunua magari matatu. Habari hizi si za kweli hata kidogo. Mwaka huu nimenunua gari mtumba kwa fedha zangu kidogo na nyingine za kukopeshwa na mkurugenzi wangu.