Hii njemba inayojiita masatu imeumia roho sana kwa kuona Chadema inataka kuvuka uchaguzi kwa salama. Umezoea kula vya kunyonga sio? Ngonya siku yaja huko CCM ulikozoea kupata vya bure mrija utakatwa.....

Kumbe hii ni njemba! Mimi nilidhani ni demu ati!
Actually mimi najua wewe ni GAY!
Kuvuka uchaguzi salama kwa kutumia shinikizo za baba mkwe? kama hiyo ndio salama then neno salama limepoteza maana!
Kweli mkuu umelonga!Nilidhani ni mimi tu hadi nimejiona sijui kiingrish!Afadhali na mwingine umetoa uvivu.Mmh! kuna haja ya kuwa na icon ya dictionary somewhere katika JF, hii Kibanda hajakuelewa, sembuse mimi.
Yes 'nauseating nepotism' kama Kibanda mkwe wa Mtei na rafiki wa Mbowe, muajiriwa wa Chadema, then that article was absolute equivocal!
Napenda kuweka kumbukumbu zangu sawasawa kwamba wanaonijua ni mashahidi kwamba mwaka 2005 sikumuunga mkono Mwandosya katika mchakato wa uteuzi wa cha urais ndani ya CCM.
Wakati huo nilikuwa Mhariri wa gazeti la Mwananchi Jumapili na kuelekea kwenye mchakato huo niliandika makala za uchambuzi kuhusu mchakato huo na kumbukumbu zipo kwamba nilimponda waziwazi Mwandosya nikisema bayana kwamba alikuwa ni mwanasiasa mchanga (kwa mantiki ya uzoefu ndani ya CCM na si umri wake), pili niliponda mkakati wake wa urais wa kushirikisha wapambe takriban wote toka mkoa wa Mbeya. Nitaambatanisha makala za wakati huo kulithibitisha hili. Makala zote zipo katika blogu yangu binafsi.
Pili nimesikitishwa na uongo wa wazi unaoenezwa na baadhi ya wanajamvi kwamba eti nimenunua magari matatu. Habari hizi si za kweli hata kidogo. Mwaka huu nimenunua gari mtumba kwa fedha zangu kidogo na nyingine za kukopeshwa na mkurugenzi wangu.
Tatu, sikumzuia Zitto na sikushiriki katika kikao cha wazee kilichofikia hatua kumshawishi aondoe jina lake na yeye mwenyewe akakubali. Kwa hiyo anguko langu nililokuwa nikilizungumzia ni lile la iwapo angegombea uenyekiti ambao tayari ameutema. Hili llimetunyima fursa ya kupima mbele ya safari ingekuwaje?
Hizi thread za kujadili watu zinaonyesha uwezo wa kufikiri unapungua na ni hatari tukianzisha thread za kijinga jinga kama hizi maana hazina faida kwa jamii.
Masatu sasa na wewe waanza kufulia.
Napenda kuweka kumbukumbu zangu sawasawa kwamba wanaonijua ni mashahidi kwamba mwaka 2005 sikumuunga mkono Mwandosya katika mchakato wa uteuzi wa cha urais ndani ya CCM.
Wakati huo nilikuwa Mhariri wa gazeti la Mwananchi Jumapili na kuelekea kwenye mchakato huo niliandika makala za uchambuzi kuhusu mchakato huo na kumbukumbu zipo kwamba nilimponda waziwazi Mwandosya nikisema bayana kwamba alikuwa ni mwanasiasa mchanga (kwa mantiki ya uzoefu ndani ya CCM na si umri wake), pili niliponda mkakati wake wa urais wa kushirikisha wapambe takriban wote toka mkoa wa Mbeya. Nitaambatanisha makala za wakati huo kulithibitisha hili. Makala zote zipo katika blogu yangu binafsi.
Pili nimesikitishwa na uongo wa wazi unaoenezwa na baadhi ya wanajamvi kwamba eti nimenunua magari matatu. Habari hizi si za kweli hata kidogo. Mwaka huu nimenunua gari mtumba kwa fedha zangu kidogo na nyingine za kukopeshwa na mkurugenzi wangu.
Tatu, sikumzuia Zitto na sikushiriki katika kikao cha wazee kilichofikia hatua kumshawishi aondoe jina lake na yeye mwenyewe akakubali. Kwa hiyo anguko langu nililokuwa nikilizungumzia ni lile la iwapo angegombea uenyekiti ambao tayari ameutema. Hili llimetunyima fursa ya kupima mbele ya safari ingekuwaje?
Simply said a pandemic pot of despicable despotism, nauseating nepotism and incospicuous incompetency coupled with idiocratic incoherency.
Pili nimesikitishwa na uongo wa wazi unaoenezwa na baadhi ya wanajamvi kwamba eti nimenunua magari matatu. Habari hizi si za kweli hata kidogo. Mwaka huu nimenunua gari mtumba kwa fedha zangu kidogo na nyingine za kukopeshwa na mkurugenzi wangu.
?
Kibanda,
Ushauri wangu wa mchana wa leo. Just keep mkimya. Huyu Masatu tunamjua vizuri, yupo # 1.