L Livejr JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 2,073 Reaction score 2,812 Jun 12, 2017 #21 Hizi nyimbo za kusubiri mambo ya siasa huwa zinakaa mda mfupi sana kwa sababu siasa zetu za Bongo kila wiki kuna matukio kibao. Madaraka ya Kulevya imeenda wapi, Nikae kimya nao ya Mond siisikii. Hii nayo fasta itapotea kama zingine
Hizi nyimbo za kusubiri mambo ya siasa huwa zinakaa mda mfupi sana kwa sababu siasa zetu za Bongo kila wiki kuna matukio kibao. Madaraka ya Kulevya imeenda wapi, Nikae kimya nao ya Mond siisikii. Hii nayo fasta itapotea kama zingine
UHURU JR JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 18,233 Reaction score 9,651 Jun 27, 2017 #22 Hii nimeisikia kwenye daladala..Yani yale mashairi yake mule nilijikuta tu najizuia kucheka.
Salmah99 JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 307 Reaction score 518 Jul 4, 2017 #23 naliamsha dudeee (Kaza chaga mamaaa×2 naliamsha dudee (Mida ya wakubwa na watoto washalala hyooo