Naliamsha dude'' Ngoma mpya ya Weusi

Naliamsha dude'' Ngoma mpya ya Weusi

Naliamsha duuuude duuuude,
Makonda nae yupo moto,
Masela kwangua ukoko,
Wapiga deal wala msoto,
Gwajima kawa Mboto,
Dar yote sasa mafuriko.
Yaani...Naliamsha duuude, duude
 
Naliamsha duuuude duuuude,
Makonda nae yupo moto,
Masela kwangua ukoko,
Wapiga deal wala msoto,
Gwajima kawa Mboto,
Dar yote sasa mafuriko.
Yaani...Naliamsha duuude, duude
Dah... Aisee..
 
Hapo ni kidogo nimeona lkn nahisi litakuwa bonge moja ya dude
 
teaser ikipandishwa huwa inapaswa iambatane na link ya audio yote kwenye Bio sasa sijui kwa nini hawajafanya hivyo..

ngoma inaonyesha itakuwa kali sana hii.
 
Msaada...wana JF.. huko KULIAMSHA DUDE...maana yake nn wana JF PLZ...
 
Kila mtu akiliamsha dude hii nchi itakuwa salama?
 
kama Joh kaacha ku-rap kama Nuhu Mziwanda ngoma itakuwa nzuri
 
Hatareee duh nasubiria mrejesho. Patakuwa hapatoshi weusiiiiii hadi moyo
 
Back
Top Bottom