Habari zenu wapendwa.
Mwenzenu nina tatizo ambalo mpaka leo sijajua linasababishwa na nini! Kwa kifupi ni kwamba nikifanya mapenzi kwa mara ya kwanza na mtu, huwa nikimaliza tendo nalia sana, sijajua ni kwanini haswa.
Yaani najikuta nalia haswa kama nimepatwa na msiba. Tena akinikuna vizuri ndo nalia na kwikwi kabisa tukishamaliza tendo.
Tatizo hili lilinianza toka nilipo bikiriwa na huisha nikishamzoea huyo mpenzi wangu, embu naombeni ushauri nifanyeje ili nisilie? maana sometimes boyfriend wangu anaweza akawa anakwazika bila mimi kujua. Na je does it exist to another woman? or ni mimi tu?
Ushauri jamani.
hihi ni mwana mume ndo anatafuta mke au mwanamke ndo anae tafuta mume?....hapa nahitaji ufafanuzi zaidi mkuu hivi ni yupi mwenye jukumu la kumtafuta mwingine??
tatizo linaanza kila unapobikiriwa? Unabikiriwa mara ngapi kwani kubikiriwa si mara moja?
hakuna kisa nilichoandika cha uongo..... vyote vinenitokea, vingine vya kupita na vingine bado vinaendelea, kama kile cha yule alonitishia kuniua.......tatizo historia yako inakuhukumu...unakubali visa vyako vya nyuma si vyote vya kweli....????tuanzie hapo...
We utakuwa una k maji sana ndio maana maji yanazidi yanatokea machoni
Hahaha ww komesha maji ya chin yafike machon ha makubwa ss ndo afanyeje
Duh pole, sasa ulimuacha kwa tabia yake ya kulia au kwa jengineHata mimi nalia tukimaliza tu ,basi huanza kulia wee mpaka mdada nae analia,inakuwa sote tunalia ,mwishowe tunajikuta tunaanza tena mambo yetu ,siku moja tulifika karibu ya asubuhi ,siku ile siisahau maana kabamia kangu kalisinyaa kupita maelezo. Ilikuwa zaidi ya mara sita tulilia ,ila yeye alikuwa halii kama wewe ,umempita ! Yeye nishatengana nae !
Jingine !Duh pole, sasa ulimuacha kwa tabia yake ya kulia au kwa jengine
Kuna mmoja juzi alisema ananguruma, wewe unasema unalia