Nalia nikimaliza kufanya mapenzi

Kuna mmoja juzi alisema ananguruma, wewe unasema unalia
 
kila binadamu ana namna yake, si wewe tu, kuna wengine baada ya kufika kileleni wanalia kama wewe, wengine wanakata mawasiliano, wengine wananuna, wengine wanakunywa maji mengi sana, wengine wanalala, wengine wanacheka, wengine wanaishia kujisonya sana, wengine utafikiri wamegongwa na train, hili mradi kila mmoja na namna yake....lkn hao wote siyo wamechukizwa la bali ndiyo hitimisho ya ile raha waliyoipata! je kipindi mpo kwenye mchezo huwa unatoa sauti ya mguno au unaisikilizia kwanza?
 

Kwani huwa unajisikia vp inapofika ile siku ambayo mmepanga kufanya yenu na boyfrnd mpya kwa mara ya kwanza?
 

Nadhani kuna watu hapa jogoo kama vile limeanza kuwika baadae likatulia kidogo
 
Sasa wewe mwenyewe hujui kinachokuliza sisi huku tutajuaje? Mi nikikugegeda nitajua juu
 
Kwani huwa unajisikia vp inapofika ile siku ambayo mmepanga kufanya yenu na boyfrnd mpya kwa mara ya kwanza?
kwanza huwa sipendi attention.. huwa sipangi kwenda kufanya mapenzi, hiyo hali inatokeaga tu automatically nikiwa kwake au kwangu, ndo tunajikuta kila mtu anahitaji raha.... sijawahi hata siku moja kupanga kufanya mapenzi.... never!! eti miss chagga we unapangaga?? hahahaahah
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
anazimia kwa muda kama huna imani unaweza kumkimbia
weeeeehhh.......... duh, hilo ni tatizo la kipekee aisee.... msifanye mzaha embu nenda hospital mkaulze, siku anaweza akafa ukajua kazimia, shaurilo
 
achana nae huyo, akitaka siasa na kilimo kuna majukwaa yake aende.... vipi we hauna tatizo kama langu au hujawahi kusikia kwa mtu? miss neddy

ohooo ujue ndo baba watoto huyo hahaha mimi sina tatizo kama hilo na sijawahi kusikia kwa kweli pole
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…