Nalia machozi na kuwaangukia tena watanzania wenzangu mnisaidie

haya sasa wale wa dernmark
Screenshot_20181210-223345.jpeg
 
Habarini za jioni, poleni na miangaiko ya hapa na pale kuakikisha tunajenga familia na nchi kwa ujumla...
Kwa wale wanaouguza na kuugua nawapa pole na nawaombea kwa muumba mbingu na nchi awaponye nyote na mrejee kwenye hali nzuri ili kuendeleza majukumu yenu
Niende kwenye maada moja kwa moja
Yapata week moja na kidogo tangu nilete uzi wangu wa kuomba watanzania wanisaidie nafasi ya kazi yeyote ile
Wengi walinibeza ( nawashukuru coz ni sehemu ya maisha pia) kunitolea kauli chafu na wengine walinitia moyo (nawashukuru pia)
.Ndugu zangu, watanzania wenzangu nakuja tena mbele yenu naombeni mnisaidie sehemu yeyote ya kujishkiza au nafasi yeyote ya kazi nipo chini ya miguu yenu
.Nimefanya sana application pasipo mafanikio yeyote yale
.Mpaka nahisi kukata kabisa tamaa na aya maisha...
.Kila siku naamini labda zamu yangu bado, ila ndio jua kwangu linazama maana umri nao unanitupa moon I
.Elimu yangu: Degree ya Compute (Computer) Security (Bsc in cyber security)
Napatikana: Dar es Saalam
Namba yangu ya simu: 0755-836-347
Nipo chini ya miguu yenu watanzania wenzagu aombeni msaada wenu ndugu zangu, watanzania wenzangu.
Nimechoka kulia peke yangu, naomba niwalilie ninyi ndugu zangu mnisaidie.
Asante pia kwa kuchukua muda wako kusoma andiko langu
Mungu awabariki sana sana.
Bado naamini utapata tu, Computer Labs kwenye Secondary Schools, Colleges na Vyuo zajhitaji wenye vyeti kama wewe, endelea ku-apply ndugu, utapata tu, jaribu kurekebisha CV yako na Cover Letter..
Kila la heri...
 
Bado naamini utapata tu, Computer Labs kwenye Secondary Schools, Colleges na Vyuo zajhitaji wenye vyeti kama wewe, endelea ku-apply ndugu, utapata tu, jaribu kurekebisha CV yako na Cover Letter..
Kila la heri...
Asante mkuu, mungu akubariki sana KWA kunitia moyo

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Jisajir Linked in pale kuna network sana za watu mbalmbal waombe connection ya urafiki jaribu kushare nao your CV,nachoamin mm hiyo course ni marketable sana hujapata tu the right channel and connection ,
 
Back
Top Bottom