Mkushi Mbishi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 318
- 513
Poleni na majukumu ya kulijenga taifa ndugu zangu
Kuna wakati nilipata nafasi ya kuishi katika mji wa Tanga,mpakani Horohoro kwa miez sita nikiwa saidia fundi katika site fulani Kama miez 6 hivi.
Nilipenda Sana kujichanganya na wenyeji,nikazoeleka na kwa kuwa vijana walipata offer za pombe walinikubali sana,katika maisha hayo nilikuja kugundua vijana wengi sio Wazalendo kabisa kwani nilishuhudia bodaboda wakiwaingiza wasomali na wa Ethiopian kwa wingi Sana kwa njia haramu huku wakijipatia kipato.
Ilifika wakati wakawa wanaona ni Jambo la kawaida kabisa Yani Kama ni kazi halali.Nilijaribu kuwauliza baadhi hivi mnafahamu Hawa watu mkishawaingiza humu nchini kwetu wanakuja kufanya Nini ama wanaenda wapi lakini hakuna anayejua wao wanaangalia pesa tu.One day nilikutana na msomali walkimbizwa na Askari wakapoteana wao kwa wao jamaa hajui kiswahili akawa anatuomba msaada na washkaji wakasema ongea nae vizuri pesa ndefu hiyooo.
Akanipa namba ya simu ya jamaa Yuko mbeya nikaipiga jamaa aliniambia huyo mgeni nisimpeleke kwa mwenyekiti Wala polisi Bali nimuhifadhi yeye anatuma mtu aje kumchukua na huyo mtu atatupatia laki3..nilimkubalia lakini nilipokata simu nilimpndisha kwenye bus na nikamlipia nauli halafu nikamwambia konda huyu jamaa hakikisha unamshusha Vjinga pale Kuna check point na nilikuwa na namba ya Askari nikampigia nikampa taarfa alikuwa hapo kwenye kituo Cha ukaguzi.
Washkaji walipoona nilichokifanya tangu siku hiyo wakaniona sifai,wakanitenga na hawakutaka hata story na mimi Tena mpaka nilipomaliza majukumu yangu na kuondoka eneo Hilo.
Ndugu zangu Watanzania tuweni Wazalendo wa kweli ,hii ni nchi yetu sote ACHENI KUWAINGIZA WAHAMIAJI HARAMU NCHINI KWETU Kama wanataka kuja Bongo wafuate taratibu za kiserikali.
Acheni hizo mambo mtatujazia wahalifu washenz tuipende nchi yetu.