Nalia machozi na kuwaangukia tena watanzania wenzangu mnisaidie

Asante ndugu yangu, mungu akubariki sana
Namba yako naichukua sasaiv, kesho nitakupigia simu saa 12.00 jioni, nitakuomba uniandalie CV yako mimi utaniletea kazini kwangu siku ya jtatu 10th, nitakuelekeza, ni Ubungo
 
hatA mkifanya na kununua magari nje naona hii inabamba sana town hapa kuagizia watu magari nje
Hiyo ni nzuri lakini mtaji wake unatakiwa mkubwa isitoshe waliowengi hawana ajira . Kuwekeza kwenye knowledge tuliyonayo naona ni bora sababu kama hauna fedha una changia akili na nguvu yako na tulio na uwezo wa kupata mia mia tunachangia vyote.
 
Ajira hamna basi tujiunge nguvu watu wa IT kufanya start up ya biashara inayoendana na field , mimi nitatoa support ya Servers na PC plus vipesa vidogo vya hapa na pale, but tunasajili kampuni na kila mtu anakuwa na shares ili kuwezesha watu wakomae zaidi na kupiga kazi.
Kama kuna mwenye nia hiyo ni pamoja tuonane tufanye maandalizi.
Maisha yangu yapo nje ya Tanzania ila nimeingia nipo hapa 3 days now na nitakuwepo mwezi mzima , kwahiyo kama wapo wenye nia pm tujiunge tukutane tuone tunaanzaje.
WAZO LANGU TU WADAU..
Mimi pia nitajitolea uwezo wangu katika UI/UX, Web Design, Web Development, App Development and Management, Social Media Marketing and Management, Sound Design, Video Editing, Graphic Design, Muda na vingine vingi
 
Umejifunza nn kwenye application zako? Yaani baada ya kuapply umefahamu ni kwa nn umekosa?. Bro tupo wengi m hata cja apply vigezo vingi huwa cjatimiza kama masters, usajili erb, experience n.k aisee engineering sio mchezo
Habarini za jioni, poleni na miangaiko ya hapa na pale kuakikisha tunajenga familia na nchi kwa ujumla...

Kwa wale wanaouguza na kuugua nawapa pole na nawaombea kwa muumba mbingu na nchi awaponye nyote na mrejee kwenye hali nzuri ili kuendeleza majukumu yenu
.
.
Niende kwenye maada moja kwa moja
.
.
Yapata week moja na kidogo tangu nilete uzi wangu wa kuomba watanzania wanisaidie nafasi ya kazi yeyote ile
.
.
Wengi walinibeza ( nawashukuru coz ni sehemu ya maisha pia) kunitolea kauli chafu na wengine walinitia moyo (nawashukuru pia)
.
.
Ndugu zangu, watanzania wenzangu nakuja tena mbele yenu naombeni mnisaidie sehemu yeyote ya kujishkiza au nafasi yeyote ya kazi nipo chini ya miguu yenu
.
.
Nimefanya sana application pasipo mafanikio yeyote yale
.
.
Mpaka nahisi kukata kabisa tamaa na aya maisha...
.
.
Kila siku naamini labda zamu yangu bado, ila ndio jua kwangu linazama maana umri nao unanitupa moon I
.
.
.
Elimu yangu: Degree ya Compute Security (Bsc in cyber security)

Napatikana: Dar es Saalam

Namba yangu ya simu: 0755-836-347

Nipo chini ya miguu yenu watanzania wenzagu aombeni msaada wenu ndugu zangu, watanzania wenzangu.

Nimechoka kulia peke yangu, naomba niwalilie ninyi ndugu zangu mnisaidie.

Asante pia kwa kuchukua muda wako kusoma andiko langu

Mungu awabariki sana sana.
 
Mkuu bado mapema kumtuhumu huyu jamaa,ngoja aje hapa tusikie kama kweli alikuwa na nia njema na mdau ninini kilichomkwamisha?
Mapema ipi mkuu?? We mpk hapo hujaona km huyo fala canimito ni mwizi tuu km wezi wengine af unasema ni mapema? au ndo ww na id yako nyingine unataka kuanza kutafuta namna ya kujitetea? Nawachukia sana wezi, yani mtu ana shida kibao af kuna jinga lingine linataka kumuibia
 
Swala la ajira limekuwa tatizo kwetu vijana,wale wenye uwezo wa kutusaidia naomba mtusaidie,hata mimi nina uhitaji mkubwa wa kazi yoyote iliyohalali ama kibarua mkoa wowote.Nimekata tamaa kbs na maisha.please help me.
Elimu yangu ni Bsc forestry
Umri:25.
 
Mapema ipi mkuu?? We mpk hapo hujaona km huyo fala canimito ni mwizi tuu km wezi wengine af unasema ni mapema? au ndo ww na id yako nyingine unataka kuanza kutafuta namna ya kujitetea? Nawachukia sana wezi, yani mtu ana shida kibao af kuna jinga lingine linataka kumuibia
Mm mwenyewe nimemshangaa eti mapema, atakuwa hajaingia mjini bado huyu tusimlaumu sana.
 
Swala la ajira limekuwa tatizo kwetu vijana,wale wenye uwezo wa kutusaidia naomba mtusaidie,hata mimi nina uhitaji mkubwa wa kazi yoyote iliyohalali ama kibarua mkoa wowote.Nimekata tamaa kbs na maisha.please help me.
Elimu yangu ni Bsc forestry
Umri:25.
angalia huu uzi kuna seh utaona link ya watsap grp tujaribu kufanya kitu
 
Back
Top Bottom