Nalia machozi na kuwaangukia tena watanzania wenzangu mnisaidie

Mapema ipi mkuu?? We mpk hapo hujaona km huyo fala canimito ni mwizi tuu km wezi wengine af unasema ni mapema? au ndo ww na id yako nyingine unataka kuanza kutafuta namna ya kujitetea? Nawachukia sana wezi, yani mtu ana shida kibao af kuna jinga lingine linataka kumuibia
...........Duh mkuu mimi siye kaka na naona hajaja kutoa neno lolote pamoja na kuwa nilimpa wito wa kufanya hivyo.nadhani sasa hata mimi nitaamini jamaa siyo mtu mzuri.
 
Wewe ni mwanaume au mwanamke?
A level ulisoma masomo gani?
Je unahisi ni mshahara kiasi gani ukilipwa kwa hapa Dar minimum unaweza kufanya kazi?
(Jibu hapa kwa faida ya wengine ila nijibu pia PM)
 
Tatizo kubwa ni kwamba vijana wengi wakati mnasoma mnakuwa na ndoto kubwa na yale mliyosomea, mkikosa kazi huko inakuwa tatizo, hamuelewi kwamba unaweza kutumia somo moja tu ulilosoma a level kupata kazi utakayofanya maisha yako yote. Ubaya wa watu wengi wanaosoma Computer Tanzania wanakuwa na uwezo mdogo na wakikaa Sana mtaani either wanasahau walichosoma au technology inabadilika wanakuwa useless.
Nafanya kazi na Jamaa alimaliza Udsm miaka sita iliyopita ila hakupata kazi akajishikisha kwenye kazi nyingine, yan baadhi ya mambo basic kabisa ya computer anakuja kuniuliza mm ambaye hata certificate ya computer sina.
 
Usivunjike moyo kuona mafanikio yanachelewa japo wajiona unauwezo mkubwa wakufanya mambo mengi.
Huwenda bado hujachukua maamuzi yakufanya kile Mungu anataka ufanye.
Ukijiona unao uwezo sana kumbuka ni Mungu kakupa uwezo huo sasa labda kuna kitu anataka kutoka kwako.
Yeah kaka n.a. Mimi ni muumini mzuri sana kwenye imani kaka
 
Santee mkuu nimekuelewa
Usivunjike moyo kuona mafanikio yanachelewa japo wajiona unauwezo mkubwa wakufanya mambo mengi.
Huwenda bado hujachukua maamuzi yakufanya kile Mungu anataka ufanye.
Ukijiona unao uwezo sana kumbuka ni Mungu kakupa uwezo huo sasa labda kuna kitu anataka kutoka kwako.
 
Course ya polisi au jeshi kwa Elimu ya form four wana range limit ya umri mkuu nadhani (18-22/23) na mimi nimeshavuka hapo
Mkuu yan kwa Elimu yako Chukua chet cha 4m4 nenda coz za police au jeshi. Ukishamaliza coz toa vyeti vyako unakula nyota za kutosha.
 
Usivunjike moyo kuona mafanikio yanachelewa japo wajiona unauwezo mkubwa wakufanya mambo mengi.
Huwenda bado hujachukua maamuzi yakufanya kile Mungu anataka ufanye.
Ukijiona unao uwezo sana kumbuka ni Mungu kakupa uwezo huo sasa labda kuna kitu anataka kutoka kwako.
Nashukuru sana kaka kwa nasaa zake nzuri, mungu akubariki sana ndugu yangu
 
Tatizo kubwa ni kwamba vijana wengi wakati mnasoma mnakuwa na ndoto kubwa na yale mliyosomea, mkikosa kazi huko inakuwa tatizo, hamuelewi kwamba unaweza kutumia somo moja tu ulilosoma a level kupata kazi utakayofanya maisha yako yote. Ubaya wa watu wengi wanaosoma Computer Tanzania wanakuwa na uwezo mdogo na wakikaa Sana mtaani either wanasahau walichosoma au technology inabadilika wanakuwa useless.
Nafanya kazi na Jamaa alimaliza Udsm miaka sita iliyopita ila hakupata kazi akajishikisha kwenye kazi nyingine, yan baadhi ya mambo basic kabisa ya computer anakuja kuniuliza mm ambaye hata certificate ya computer sina.
Nimekuelewa kiongozi
 
Habarini za jioni, poleni na miangaiko ya hapa na pale kuakikisha tunajenga familia na nchi kwa ujumla...

Kwa wale wanaouguza na kuugua nawapa pole na nawaombea kwa muumba mbingu na nchi awaponye nyote na mrejee kwenye hali nzuri ili kuendeleza majukumu yenu
.
.
Niende kwenye maada moja kwa moja
.
.
Yapata week moja na kidogo tangu nilete uzi wangu wa kuomba watanzania wanisaidie nafasi ya kazi yeyote ile
.
.
Wengi walinibeza ( nawashukuru coz ni sehemu ya maisha pia) kunitolea kauli chafu na wengine walinitia moyo (nawashukuru pia)
.
.
Ndugu zangu, watanzania wenzangu nakuja tena mbele yenu naombeni mnisaidie sehemu yeyote ya kujishkiza au nafasi yeyote ya kazi nipo chini ya miguu yenu
.
.
Nimefanya sana application pasipo mafanikio yeyote yale
.
.
Mpaka nahisi kukata kabisa tamaa na aya maisha...
.
.
Kila siku naamini labda zamu yangu bado, ila ndio jua kwangu linazama maana umri nao unanitupa moon I
.
.
.
Elimu yangu: Degree ya Compute Security (Bsc in cyber security)

Napatikana: Dar es Saalam

Namba yangu ya simu: 0755-836-347

Nipo chini ya miguu yenu watanzania wenzagu aombeni msaada wenu ndugu zangu, watanzania wenzangu.

Nimechoka kulia peke yangu, naomba niwalilie ninyi ndugu zangu mnisaidie.

Asante pia kwa kuchukua muda wako kusoma andiko langu

Mungu awabariki sana sana.
Pole sana mkuu. Mungu atakujalia utapata inshallah
 
Kajaribu hii:

Nafasi za Kazi Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Tuma Maombi Yako Mapema - Ajira Zetu
 
Back
Top Bottom