Naleta mrejesho: Nimepata shamba la kilimo cha matikiti na vitunguu

Wanabody kijana wenu naleta mrejesho leo nimepata rasmi shamba maeneo fulani na sasa naanza kilimo cha matikiti pamoja na Vitunguu ndani ya shamba moja ila nitatenga naomba ushauri katika hili pia na utaratibu namna ya kulima kistadi na mbegu nzuri za Matikiti na Vitunguu..na chochote ambacho chaweza kunisaidia katika kilimo hiki karibuni ili nikifanikiwa au lah..pia nitawaletea mrejesho hapa

Sukari F1ndo habari ya mujini ktk tikiti..
 
kuna mashamba yanakodishwa ruvu ziko hekali 2 zimeshalimwa imebakia kupanda na kurudisha hela walioyolimia na kukodi shamba hilo je nikuunganishe kwani hata name nalima huko ruvu
Ladyfurahia napenda kuja kutembea huko kufanya utafiti kidogo kuhusiana na masuala ya kilimo,next week ntakua morogoro
 
Ladyfurahia napenda kuja kutembea huko kufanya utafiti kidogo kuhusiana na masuala ya kilimo,next week ntakua morogoro
karibu sana ila ruvu haiku morogoro mkuu nazungumzia ruvu ile iliyopo kati ya mlandizi na chalinze
yaani ruvu jkt
 
Mi mtaalam wa kilimo kwa ushauri wa kilimo na maswala ya Udongo hata kupima Udogo tuwasliane. Kwa no:0717698998
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom