Nalaani matukio ya Mungiki wa CHADEMA wanaofadhiliwa na Nassari kuwapiga wanachama wa CCM

AUGUSTINO CHIWINGA

JF-Expert Member
Apr 23, 2017
220
689
Nalaani tukio lililotokea la wafuasi wa chadema kuwashambulia kwa vipigo wanachama wa CCM pamoja na mgombea Udiwani Kata ya Murriet walipokua wanatoka kwa Amani katika mkutano wa kampeni

Nimesikitishwa sana na siasa za fujo, vurugu na za kihalifu zinazofanywa na chama hiki cha chadema.
Ninazo taarifa kwamba Mbunge Joshua Nassari ,God bless Lema pamoja na Diwani Ally Bananga wanafadhili kikundi cha Vijana wapatao 50 ambao ndio chao wanaotumwa kuwafanyia fujo wanachama wa Chama Cha Mapinduzi mkoani Arusha.
Naliomba jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa kina ili kukomesha kikundi hiki cha mungiki kilichoundwa na kuendeshwa na akina Nassari kwa lengo la kuwatishia wanachama wa CCM wasijitokeze kupiga kura.

Uhuni wanaoufanya sio jambo la kuchekewa hata kidogo wasitake kuamsha hasira zetu tukalipiza kisasi.
Nina imani na jeshi la polisi kwamba litwatia korokoroni wahuni hawa waliopanga kuvuruga uchaguzi wa marudio mkoa wa Arusha.

Siasa safi zinawezekana kila mmoja atimize wajibu wake.

Augustino Chiwinga.
 
Waalikeni tawi lenu la dola/polisi. Ila sasa ni jino kwa jino ulijue hilo. Nashangaa unatoa povu JF; kwa sasa msije wahatarisha mapolisi wenu. Wapuuzi sana nyie mungiki wenu ni polisi.
 
Nalaani tukio lililotokea la wafuasi wa chadema kuwashambulia kwa vipigo wanachama wa CCM pamoja na mgombea Udiwani Kata ya Murriet walipokua wanatoka kwa Amani katika mkutano wa kampeni

Nimesikitishwa sana na siasa za fujo, vurugu na za kihalifu zinazofanywa na chama hiki cha chadema.
Ninazo taarifa kwamba Mbunge Joshua Nassari ,God bless Lema pamoja na Diwani Ally Bananga wanafadhili kikundi cha Vijana wapatao 50 ambao ndio chao wanaotumwa kuwafanyia fujo wanachama wa Chama Cha Mapinduzi mkoani Arusha.
Naliomba jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa kina ili kukomesha kikundi hiki cha mungiki kilichoundwa na kuendeshwa na akina Nassari kwa lengo la kuwatishia wanachama wa CCM wasijitokeze kupiga kura.

Uhuni wanaoufanya sio jambo la kuchekewa hata kidogo wasitake kuamsha hasira zetu tukalipiza kisasi.
Nina imani na jeshi la polisi kwamba litwatia korokoroni wahuni hawa waliopanga kuvuruga uchaguzi wa marudio mkoa wa Arusha.

Siasa safi zinawezekana kila mmoja atimize wajibu wake.

Augustino Chiwinga.
Badala ya kukemea siasa chafu za mwenyekiti wako taifa mzee kipara za kutaka kumuua Lissu na wale wote wenye mtazamo tofauti na yake unaleta porojo zisizo na uhalisia?!
 
Nalaani tukio lililotokea la wafuasi wa chadema kuwashambulia kwa vipigo wanachama wa CCM pamoja na mgombea Udiwani Kata ya Murriet walipokua wanatoka kwa Amani katika mkutano wa kampeni

Nimesikitishwa sana na siasa za fujo, vurugu na za kihalifu zinazofanywa na chama hiki cha chadema.
Ninazo taarifa kwamba Mbunge Joshua Nassari ,God bless Lema pamoja na Diwani Ally Bananga wanafadhili kikundi cha Vijana wapatao 50 ambao ndio chao wanaotumwa kuwafanyia fujo wanachama wa Chama Cha Mapinduzi mkoani Arusha.
Naliomba jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa kina ili kukomesha kikundi hiki cha mungiki kilichoundwa na kuendeshwa na akina Nassari kwa lengo la kuwatishia wanachama wa CCM wasijitokeze kupiga kura.

Uhuni wanaoufanya sio jambo la kuchekewa hata kidogo wasitake kuamsha hasira zetu tukalipiza kisasi.
Nina imani na jeshi la polisi kwamba litwatia korokoroni wahuni hawa waliopanga kuvuruga uchaguzi wa marudio mkoa wa Arusha.

Siasa safi zinawezekana kila mmoja atimize wajibu wake.

Augustino Chiwinga.
Samahani hivi wale waliovamia kikao cha viongozi wa CUF waliwekwa korokoroni?
 
Omba jeshi liwakamate kwanza waliomshambulia Lissu.
 
We unalaani km nani?? Huoni polisi wanavowatesa watu kwa niaba ya ccm?? Nakufananisha na kimnyama tu kinachofakamia uozo pia mabaki ya pale lumumba
 
Nalaani tukio lililotokea la wafuasi wa chadema kuwashambulia kwa vipigo wanachama wa CCM pamoja na mgombea Udiwani Kata ya Murriet walipokua wanatoka kwa Amani katika mkutano wa kampeni

Nimesikitishwa sana na siasa za fujo, vurugu na za kihalifu zinazofanywa na chama hiki cha chadema.
Ninazo taarifa kwamba Mbunge Joshua Nassari ,God bless Lema pamoja na Diwani Ally Bananga wanafadhili kikundi cha Vijana wapatao 50 ambao ndio chao wanaotumwa kuwafanyia fujo wanachama wa Chama Cha Mapinduzi mkoani Arusha.
Naliomba jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa kina ili kukomesha kikundi hiki cha mungiki kilichoundwa na kuendeshwa na akina Nassari kwa lengo la kuwatishia wanachama wa CCM wasijitokeze kupiga kura.

Uhuni wanaoufanya sio jambo la kuchekewa hata kidogo wasitake kuamsha hasira zetu tukalipiza kisasi.
Nina imani na jeshi la polisi kwamba litwatia korokoroni wahuni hawa waliopanga kuvuruga uchaguzi wa marudio mkoa wa Arusha.

Siasa safi zinawezekana kila mmoja atimize wajibu wake.

Augustino Chiwinga.
......
.....Umetumwa?
 
Ungelaani lile la mungiki wa dodoma waliomshambulia lissu ungeeleweka lkn ulimyuute kama haupo tz. Wacha iendelee tyu ngeke wa lumumba weye
 
Kama wanatukana wenzao acha wapigwe ana laani tukio la kupigwa wahuni wenzake mbona hatuku muona ana laani tukio la kupigwa lisasi kwa lissu hao wameshindwa kuwaeleza wana nchi zile milioni hamsini za kila kijiji wata wapa lini wana anza kusingizia wanapigwa waache unafikiwaelezeni wananchi ahadi yenu ya zile milioni hamsini mtawapa lini acheni kutafuta kura za huruma
 
Back
Top Bottom