sawa tutafunga kula na kunywa na maobi siku tatu mfululizo
Ipo hivi,
Nlikuwa na mpenzi ambaye tuliachana muda. Mahusiano yeTU yalibaki kuwa ni sex TU tena Mara moja moja sana. Binti akapata ujauzito ambao yeye alinambia Mimi sio muhusika.
Juzi Kati hapa kajifungua mtoto wa Kiume ambaye kwa anavyoonekna kafanana sana na mama yake. Tatizo ni kuwa muhusika kamkana mtoto anadai sio wake ni wa mtu anayetumia namba Ya simu (akataja namBa yangu). Mzazi kaacha kupewa matumizi Ya mtoto kama walivyokubaliana na mshkaji kagoma Kwenda kupima DNA kwa kisingizio hana pesa ila kama akilipiwa yupo tayari. Sasa kuna hatari Ya mtoto kukoa baba na mzazi kukosa matunzo.
Badala Ya mimi kumlipia yeye nimeamua nikapime Mimi nijitoe kwenye mzozo huu. Nimeshakutana na jamaa na tumepanga jumaatatu.
Msaada ninaohitaji ni kuwq sijui chochote kuhusu hii test wapi inafany na itanigharimu kiasi gani. Mi najiamini maana mama Wa mtoto ananiongoza na kaapa ma kudai haiwezekani mtoto akawa wangu. Naombeni mnisaidie kwa maswali hayo hapo juu.

Na anavyoyang'ang'ania wakati hajaona hint yoyote kuwa mtoto wake. Sijui anafikiri kulea mtoto ni issue ndogo?Una hamu ya majukumu yasiokuhusu.....