Nakwenda India Kesho, Kinana yuko Hospitali Gani Nikamsabahi?

Hivi kuna mtu anatumwa akatibiwe??maajabu haya ni tz pekee
Jamaa alimzuia Kinana asiongee na waandishi wa habari. Kwasabb alihofia Kinana angemuunga mkono nape na kumlaani mkulu..

Kwahiyo Kinana alikuwepo nchini jana kutwa nzima. labda awe amesafiri leo.
 
mgonjwa anatumwa hospitalini tena anapangiwa siku za kukaa. JPM, lini utaacha kutufanya watanzania wajinga? [HASHTAG]#brickbackourKinana[/HASHTAG]
Uzuri ni kwamba sote tunajua kuwa alimzuia Kinana kuongea na waandishi wa habari
 
Kuna mtu mmoja hapa nchini anatuona mambumbumbu kweli. Hivi unamtumaje mtu akatibiwe?

Daah nimefedheheshwa sana na hii kauli

Najua pale huyo mtu alitaka kusema nimemtuma kikazi,, sema akaona watu watahoji sana katibu mkuu wa ccm ametumwa kwa kazi gani India,, akaona aseme amemtuma kutibiwa.
 
Ni ajabu sana kuwa kwa siku mbili sijapata jibu la swali langu hata kutoka kwa makada wakubwa kama llizaboni au Wakudadavuwa. Hivi kweli kujua mzee Kinana yuko hospitali gani imekuwa shida namna hii?
Ok, acha nimalize shughuli zangu nirudi
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Nimesikia kutoka kwa mkuu kuwa amemtuma Mhe Kinana kwenda kwenye matibabu India. Kama RAIA wa nchi hii na Nina safari ya India ni vema tujulishwe yuko hospitali gani ili nimjulie hali na wengine nao wapate nafasi hiyo kama ilivyo kwa viongozi wengine wakiugua.
Hata JK kule US tulijua yuko wapi na alipelekewa maua kama ishara ya upendo.
Au ni siri nisiulize tena?

Hivi watu wanatumwa Kutibiwa, Na aliyemtuma anajua kabisa Matibabu yatachukua siku 14? Ukijifunza Kuwatambua waongo Raha sana!
 
Nimesikia kutoka kwa mkuu kuwa amemtuma Mhe Kinana kwenda kwenye matibabu India. Kama RAIA wa nchi hii na Nina safari ya India ni vema tujulishwe yuko hospitali gani ili nimjulie hali na wengine nao wapate nafasi hiyo kama ilivyo kwa viongozi wengine wakiugua.
Hata JK kule US tulijua yuko wapi na alipelekewa maua kama ishara ya upendo.
Au ni siri nisiulize tena?
Nuogope Mungu. Wewe unaumwa nenda katibiwe; mgonjwa mwingine mwache na Mungu wake.
 
kwani ule mkutano wa juzi wa dodoma hakuwepo, mkutano ule ambao msukuma, bashe na malima walionja joto ya jiwe, hakuwepo kinana kwani
 
Angalia wa
Nimesikia kutoka kwa mkuu kuwa amemtuma Mhe Kinana kwenda kwenye matibabu India. Kama RAIA wa nchi hii na Nina safari ya India ni vema tujulishwe yuko hospitali gani ili nimjulie hali na wengine nao wapate nafasi hiyo kama ilivyo kwa viongozi wengine wakiugua.
Hata JK kule US tulijua yuko wapi na alipelekewa maua kama ishara ya upendo.
Au ni siri nisiulize tena?

Angalia wasikumalize
 
Tuwekee na kivuli cha mualiko...hati ya kusafilia...na ikibidi tiketi yako ili tupate uhakika wa safari yako.....

Kama ameishi hapa Dar kwa muda mrefu ulishindwa kwenda nyumbani kwake kwa salamu......kulikoni leo hii upate huruma ya kwenda kumtembelea akiwa INDIA....!?

Acha unafiki....kaombe orodha ya wagonjwa wengine walioko huko (INDIA) ili ukawape hayo Maua.....

Inawezekana ikawa umetumwa na MANGE.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom