mkuu huoni kama Iyo ni warning umepewa. ya kwamba utabadilisha msimamo lakini wpi. life ban itakuhusu. achana na moderator's, madems wamo kibao humu.
sawa mkuu ila tambua tu asiye sikia la mkuu huvunjika guu. kila la heri .@mod farida legeza kamba mama .Mkuu niko tiar kupigwa mawe lakin siyo kuacha kumsotea farida mtoto nampenda sana yule bora nipigwe hata shaba tu
Kipendacho roho hula nyama mbichi. Jamaa haoni wala hasikii, hata tumwambiaje bado msimamo wake uko palepale.mkuu huoni kama Iyo ni warning umepewa. ya kwamba utabadilisha msimamo lakini wpi. life ban itakuhusu. achana na moderator's, madems wamo kibao humu.
Hivi ushawahi kukutana nae au hata kusikia sauti yake?Mkuu niko tiar kupigwa mawe lakin siyo kuacha kumsotea farida mtoto nampenda sana yule bora nipigwe hata shaba tu
Hahaha nimecheki eona farida kalike post ako mkuu
Labda kakukubali mzee
Hahaha sasa apigwe ban kwaajili ya kuzieleza hisia zake. .itakuwa hawamtendei haki aiseHivi hukupigwa ban
Kabisaaa mkuu. Huyu dogo juzi nimemwambia utoto bado unakusumbuaLingefunguliwa tu jukwaa la watoto humu jf.
Unataka ufatwe pm or?bogus kabisa. Mi unianzishie sredi ya kiboya afu nikuchekee?
Ashakubali au bado bado unasoteaBado mkuu ila napenda sana jina lake Farida
Kwani hilo jina linaamsha hisia zipi kwako?Bado mkuu ila napenda sana jina lake Farida
Ni siri yangu moyon mkuu napenda jina mpaka Id yake
aiseeAfu kuna wadada wanapenda visredi vya hivií ½í¹í ½í¹í ½í¹í ½í¹í ½í¹.
Crap.
Uwane unene butogwa shijaIla Nkoyi olependapenda shiniko nanhoo.. chagolaga omo doo nkoi yoooo!
Nahenee