Nakuzimikia sana moderator FARIDA sina ujanja juu yako moyo wangu chukua

Mkuu niko tiar kupigwa mawe lakin siyo kuacha kumsotea farida mtoto nampenda sana yule bora nipigwe hata shaba tu
mkuu huoni kama Iyo ni warning umepewa. ya kwamba utabadilisha msimamo lakini wpi. life ban itakuhusu. achana na moderator's, madems wamo kibao humu.
 
Mkuu niko tiar kupigwa mawe lakin siyo kuacha kumsotea farida mtoto nampenda sana yule bora nipigwe hata shaba tu
sawa mkuu ila tambua tu asiye sikia la mkuu huvunjika guu. kila la heri .@mod farida legeza kamba mama .
 
mkuu huoni kama Iyo ni warning umepewa. ya kwamba utabadilisha msimamo lakini wpi. life ban itakuhusu. achana na moderator's, madems wamo kibao humu.
Kipendacho roho hula nyama mbichi. Jamaa haoni wala hasikii, hata tumwambiaje bado msimamo wake uko palepale.
 
Daah imenikumbusha mbali sana kipindi icho jf tuna mahusiano yetu full kuoana real meaning of chit chat
 
Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom