Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,085
- 8,460
Kwa maana hiyo mpango wa kuolewa aufikirie mara mbili.Halafu chukua wtt wako uwalee mwenyewe my dear..watt waone unavyofight kwa ajili yao..baadae hao ndio ndugu wako wa kweli watakusaidia..isije baadae wakasema sisi hatukulelewa na wazazi wetu na wote walikua hai..bond yako na wtt ni muhimu..mwanaume asikutenge na damu yako...
Kwakweli kama sharti ni kutoishi na wtt wake aache tuu...kuacha wtt wasipate mapenzi ya mama na baba kwa wakati mmoja ni kuwaharibu kisaikolojia na ikiwa wazazi wote wapo...Kwa maana hiyo mpango wa kuolewa aufikirie mara mbili.
NimeshakujaBujibuji Simba Nyamaume uje huku unishauri basi kipenz
Mmeonjana tayari?Nina watoto wawili, nimepata mchumba mjasiriamali....sasa kufanya maamuzi ya kuingia tena ndani ya ndoa naogopa....si mchumba wa kwanza kumpata yaan wakifikia stage ya kwenda kujitambulisha lazima niingize chokochoko tugombane tutengane....naogopa mwenzenu....naogopa nilitaka kuuawa na mtu niliyemwamini....naogopa kumtumikia mume tena....naogopa ndugu wa mume watakuwaje katika maisha yetu....naiogopa ndoa ndugu yenu😭
May God bless you my man🙏🏽Mmeonjana tayari?
Usijali. Sikiliza moyo wako mama. Moyo ukigoma, usiulazimishe.
Kama jamaa amesha onja, ingia kwenye maombi ya toba na kujitakasa. Mungu wetu aliye mwingi wa rehema atakusamehe, nawe utapata amani ya moyo wako.
Kama nae ana watoto na kaonesha nia ya dhati basi olewa nae tu.Watoto wawili
Ma mchungaji hapa umenichekesha,akitaka kumuona shetani live afunge ndoa.Watoto wawili uingie nao kwa ndoa, labda kama watalelewa na ndugu zako...
Kama utaweza kuwapeleka pengine ila sio uishi nao watakuwa kikwazo kwako tena katika ndoa mpya...
Ukitaka kumuona shetani live funga ndoa...
Pole mama.Yeah, nishawahi olewa lakini ndoa yetu ilikuwa ni nusu nichinjwe....ndoa ilikuwa na changamoto nyingi Kabla ya kuoana na baada ya kuoana.....
Kiufupi ilikuwa ni ndoa ambayo katika uchumba ilitupa ishara zote kwamba tunaforce.....(vipingamizi toka kwa ndugu...) lakini tukaangalia siye twapendana imetosha.(Kumbe tulikuwa tunajidanganya ndugu ni sehemu kubwa ya maisha ya ndoa).....hivyo hatukutoboa tukapeana, talaka maana ikawa vita sasa ya Israel na Ukraine.
Nina watoto wawili, nimepata mchumba mjasiriamali....sasa kufanya maamuzi ya kuingia tena ndani ya ndoa naogopa....si mchumba wa kwanza kumpata yaan wakifikia stage ya kwenda kujitambulisha lazima niingize chokochoko tugombane tutengane....naogopa mwenzenu....naogopa nilitaka kuuawa na mtu niliyemwamini....naogopa kumtumikia mume tena....naogopa ndugu wa mume watakuwaje katika maisha yetu....naiogopa ndoa ndugu yenu😭
Naomba ushauri nilee wanangu hawa niliopewa na Mwenyezi Mungu au niingie tena kwenye ndoa na huyu mchumba...kiufupi Kaka wa watu hana makuu...ni mtu mwema tu na anastahili.
Majibu yote napokea ndugu zangu🙏🏽
Sawa vzuriAsante sana,anajua kilakitu kunihusu