Naona hoja ya msingi inakwepwa na Kitima anaenda kuongelea output. Swali kama hili analiogopa kama ukoma. Hakuna mwandishi yeyote wa habari amewahi kumuuliza na akalijibu kwa usahihi.
Nataka nimuulize anijibu kule aliko. Je, hiyo tarehe kulikuwa na maandamano au vandalism?
Je, kwanini walipanga kufanya siku hiyo?
Kama hujibu maswali haya kwa ufasaha basi wewe utakuwa ndiye mfadhili wa vurugu hizo.
Nawasilisha
Ilimu madrasatulNaona hoja ya msingi inakwepwa na Kitima anaenda kuongelea output. Swali kama hili analiogopa kama ukoma. Hakuna mwandishi yeyote wa habari amewahi kumuuliza na akalijibu kwa usahihi.
Nataka nimuulize anijibu kule aliko. Je, hiyo tarehe kulikuwa na maandamano au vandalism?
Je, kwanini walipanga kufanya siku hiyo?
Kama hujibu maswali haya kwa ufasaha basi wewe utakuwa ndiye mfadhili wa vurugu hizo.
Nawasilisha
Umeumia kaka.Swali la kijinga hilo. Hayo yalikuwa ni naandamano. Vurugu kutokea kwenye maandamano ni kawaida kutegemea na situations na hiyo siyo sababu ya kuua watu kwa maelfu.
South Africa tuliona maandamano kama hayo miaka 3 iliyopita. Waandamsnaji wakachoma mpaka malls kubwa kuliko Mlimani city na maroli ya mizigo lakini hawakuuawa kinyama hivyo na kwa wingi hivyo.
Marekani wakati wa Black life matters waliandamana na maduka yalivunjwa. Watu wakaiba na kuyachoma moto lakini hawakufa kwa wingi huo.
Hivi kwa nini haumulizi Mwigulu na serikali kipi ni kinawapa shida kutuambia ni watu wangapi waneuawa including hao police na askari anaowasema.
Kwa nini askari wajekufa kazini lakini hawazikwi kwa heshima za kiaskari kwa gwaride na bendera ya taifa? Kwa nini askari walijaribu kuzuia majeruhi wasitibiwe na kuwapeleka mortuary wakiwa hai. Na kwa nini askari waliuwa watu ambao hawakuwa kwenye maandamano bali majumbani? Na kwa nini miili ya watu wengi imepotea Dar. Ji bani amekula hiyo miili kama mizoga?
Vile vile kazi ya police ilitakiwa waxuie hiuo VANDARIZIM na siyo kuua waandamanaji.
Swali la kijinga hilo. Hayo yalikuwa ni naandamano. Vurugu kutokea kwenye maandamano ni kawaida kutegemea na situations na hiyo siyo sababu ya kuua watu kwa maelfu.
South Africa tuliona maandamano kama hayo miaka 3 iliyopita. Waandamsnaji wakachoma mpaka malls kubwa kuliko Mlimani city na maroli ya mizigo lakini hawakuuawa kinyama hivyo na kwa wingi hivyo.
Marekani wakati wa Black life matters waliandamana na maduka yalivunjwa. Watu wakaiba na kuyachoma moto lakini hawakufa kwa wingi huo.
Hivi kwa nini haumulizi Mwigulu na serikali kipi ni kinawapa shida kutuambia ni watu wangapi waneuawa including hao police na askari anaowasema.
Kwa nini askari wajekufa kazini lakini hawazikwi kwa heshima za kiaskari kwa gwaride na bendera ya taifa? Kwa nini askari walijaribu kuzuia majeruhi wasitibiwe na kuwapeleka mortuary wakiwa hai. Na kwa nini askari waliuwa watu ambao hawakuwa kwenye maandamano bali majumbani? Na kwa nini miili ya watu wengi imepotea Dar. Ji bani amekula hiyo miili kama mizoga?
Vile vile kazi ya police ilitakiwa waxuie hiuo VANDARIZIM na siyo kuua waandamanaji.
“It is strictly unavoidable in order to protect life.”