no 1 ana 3 hazikuwepo , no 3 ilikuwa kuthibiti majambazi
..kwa mtizamo wako kulingana na ulivyoguswa na athari zilizokupata.
..cha msingi tuheshimu mawazo ya wenzetu, na serikali iwajibike kwa wote.
no 1 ana 3 hazikuwepo , no 3 ilikuwa kuthibiti majambazi
Kitima anatakiwa aongee ukweli. Anapoongea uongo anamdanganya nani? Wote waliojaribu kupindua nchi wali fail.
Kulikuwa matraco yako. Kwani wewe ndo unapanga siku ya watu kuandamana?Naona hoja ya msingi inakwepwa na Kitima anaenda kuongelea output. Swali kama hili analiogopa kama ukoma. Hakuna mwandishi yeyote wa habari amewahi kumuuliza na akalijibu kwa usahihi.
Nataka nimuulize anijibu kule aliko. Je, hiyo tarehe kulikuwa na maandamano au vandalism?
Je, kwanini walipanga kufanya siku hiyo?
Kama hujibu maswali haya kwa ufasaha basi wewe utakuwa ndiye mfadhili wa vurugu hizo.
Nawasilisha
Kanisa Katoliki ni taasisi siyo Kitima!Hili swali lisipojibiwa kanisa katoliki litakuwa limejitia doa.
Maswali ya kijinga. Kwa hiyo kama ilikuwa ni vandalism ndiyo muue watu kwa risasi za moto! Na kama mliwaona ni wahalifu waliostahili kuuwawa kinyume na sheria za nchi, kwa nini mnaficha vifo vyao?Hili swali lisipojibiwa kanisa katoliki litakuwa limejitia doa.
Najibu kichwa cha mada tu, hizo takataka chini yake sipotezi muda.Naona hoja ya msingi inakwepwa na Kitima anaenda kuongelea output. Swali kama hili analiogopa kama ukoma. Hakuna mwandishi yeyote wa habari amewahi kumuuliza na akalijibu kwa usahihi.
Nataka nimuulize anijibu kule aliko. Je, hiyo tarehe kulikuwa na maandamano au vandalism?
Je, kwanini walipanga kufanya siku hiyo?
Kama hujibu maswali haya kwa ufasaha basi wewe utakuwa ndiye mfadhili wa vurugu hizo.
Nawasilisha
Acha kutetea ukumano 1 ana 3 hazikuwepo , no 3 ilikuwa kuthibiti majambazi
Utekaji, mauaji, uchaguzi uliofanyika, uharibifu wa mali vyote ni vandalismNaona hoja ya msingi inakwepwa na Kitima anaenda kuongelea output. Swali kama hili analiogopa kama ukoma. Hakuna mwandishi yeyote wa habari amewahi kumuuliza na akalijibu kwa usahihi.
Nataka nimuulize anijibu kule aliko. Je, hiyo tarehe kulikuwa na maandamano au vandalism?
Je, kwanini walipanga kufanya siku hiyo?
Kama hujibu maswali haya kwa ufasaha basi wewe utakuwa ndiye mfadhili wa vurugu hizo.
Nawasilisha
Amekujibu John Heche. MtafuteNaona hoja ya msingi inakwepwa na Kitima anaenda kuongelea output. Swali kama hili analiogopa kama ukoma. Hakuna mwandishi yeyote wa habari amewahi kumuuliza na akalijibu kwa usahihi.
Nataka nimuulize anijibu kule aliko. Je, hiyo tarehe kulikuwa na maandamano au vandalism?
Je, kwanini walipanga kufanya siku hiyo?
Kama hujibu maswali haya kwa ufasaha basi wewe utakuwa ndiye mfadhili wa vurugu hizo.
Nawasilisha
Usipokuwa na akili si lazima ujionyeshe hadharani!Naona hoja ya msingi inakwepwa na Kitima anaenda kuongelea output. Swali kama hili analiogopa kama ukoma. Hakuna mwandishi yeyote wa habari amewahi kumuuliza na akalijibu kwa usahihi.
Nataka nimuulize anijibu kule aliko. Je, hiyo tarehe kulikuwa na maandamano au vandalism?
Je, kwanini walipanga kufanya siku hiyo?
Kama hujibu maswali haya kwa ufasaha basi wewe utakuwa ndiye mfadhili wa vurugu hizo.
Nawasilisha
waliandamana au walikuwa wanaiba?Maandano ni kosa kikatiba au kisheria?
Je wakiandamana kwa amani ni kosa..
Je kudai HAKI Ni kosa ki katiba au kisheria??
nasikitika walipigwa wachache sana mbwa kabisa majizi makubwaAcha kutetea ukuma
Like wasipokujibu ww kuna damage watapata sio? Acha kujipa umuhimu 😂😂😂😂Hili swali lisipojibiwa kanisa katoliki litakuwa limejitia doa.
Ila PM muhuni, amekutana Padri Kitima akatangaza ameongea na taasisi nzima