passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,514
- 12,486
Hamuwezi kuwauwa watanzania wote inabidi mkubali uwajibikaji,lasivyo mtalazimishwa.cruise 2 tu zilimaliza ujinga wote dar
Hamuwezi kuwauwa watanzania wote inabidi mkubali uwajibikaji,lasivyo mtalazimishwa.cruise 2 tu zilimaliza ujinga wote dar
Wewe, uliye mwerevu, unaweza kulijibu hilo swali?!!!!Nachopendea Wakatoliki, wanatoa msg moja tu kwa mamlaka halafu wanatulia.
Nachoishangaa mamlaka Sasa, haijawahi kukanusha, kukubali Wala kuhoji kuhusu hoja za TEC. Na wenyewe wanapiga kimya.
Ila Sasa Cha ajabu, vinaibuka vikundi vya kigaidi kila Kona kuja kuwatukana TEC na vihoja vyao vya kujidhalilisha kama huyu bwege mtoa mada hii.
Ni wapumbavu sana hawa wavaa magauniNaona hoja ya msingi inakwepwa na Kitima anaenda kuongelea output. Swali kama hili analiogopa kama ukoma. Hakuna mwandishi yeyote wa habari amewahi kumuuliza na akalijibu kwa usahihi.
Nataka nimuulize anijibu kule aliko. Je, hiyo tarehe kulikuwa na maandamano au vandalism?
Je, kwanini walipanga kufanya siku hiyo?
Kama hujibu maswali haya kwa ufasaha basi wewe utakuwa ndiye mfadhili wa vurugu hizo.
Nawasilisha
Mwe..hu huwahajibiwiHili swali lisipojibiwa kanisa katoliki litakuwa limejitia doa.
TEC WALISHAZOEA VYA DEZO DEZO MAFALA HAWAWewe, uliye mwerevu, unaweza kulijibu hilo swali?!!!!
Halafu acha kujifariji fala wewe, eti "wanatoa msg Moja tu.." wakati TEC wako hao hawatulii wanahangaika Kila siku na serikali hii. Mihangaiko imekuwa mikubwa zaidi baada ya kufeli kwa jaribio lao la kumuangisha Samia oktoba 29. Kiukweli wameumia sana.
Vandalism unaikabili vipi .? Kwa kuua .?Naona hoja ya msingi inakwepwa na Kitima anaenda kuongelea output. Swali kama hili analiogopa kama ukoma. Hakuna mwandishi yeyote wa habari amewahi kumuuliza na akalijibu kwa usahihi.
Nataka nimuulize anijibu kule aliko. Je, hiyo tarehe kulikuwa na maandamano au vandalism?
Je, kwanini walipanga kufanya siku hiyo?
Kama hujibu maswali haya kwa ufasaha basi wewe utakuwa ndiye mfadhili wa vurugu hizo.
Nawasilisha
Kwanini kulitokea Vandalism? Tukianzia hapo jibu la swali lako liko humo humo.Naona hoja ya msingi inakwepwa na Kitima anaenda kuongelea output. Swali kama hili analiogopa kama ukoma. Hakuna mwandishi yeyote wa habari amewahi kumuuliza na akalijibu kwa usahihi.
Nataka nimuulize anijibu kule aliko. Je, hiyo tarehe kulikuwa na maandamano au vandalism?
Je, kwanini walipanga kufanya siku hiyo?
Kama hujibu maswali haya kwa ufasaha basi wewe utakuwa ndiye mfadhili wa vurugu hizo.
Nawasilisha
Hili swali la kichawa kabisa. Sijui kwanini viumbe kama nyinyi mnaishi?Naona hoja ya msingi inakwepwa na Kitima anaenda kuongelea output. Swali kama hili analiogopa kama ukoma. Hakuna mwandishi yeyote wa habari amewahi kumuuliza na akalijibu kwa usahihi.
Nataka nimuulize anijibu kule aliko. Je, hiyo tarehe kulikuwa na maandamano au vandalism?
Je, kwanini walipanga kufanya siku hiyo?
Kama hujibu maswali haya kwa ufasaha basi wewe utakuwa ndiye mfadhili wa vurugu hizo.
Nawasilisha
Hii propaganda ilipata nafasi wakati bado watu wanasoma magazeti, na kusubiri taarifa kwenye TV. Sio sasa watu wanaona wizi wa kura na kurushiana wizi wa kura kwenye mitandao. Yaani bado unatumia propaganda zilizozowaokota baadhi ya waisilamu kipindi wanaamini Quran ukiichoma moto haiungui. Kwa sasa mzigo unapita bandarini na unalipa kwa control number. Tuko zama ambazo ukweli pekee ndio utakubeba, sio imani za kuambiana Mungu yupo, kisha huwezi kuthibitisha.TEC WALISHAZOEA VYA DEZO DEZO MAFALA HAWA
PALE BANDARINI LILIKUWA NI LANGO LAO LA KUPITISHA MAGENDO NA DAWA ZA KULEVYA.
DP WORLD IMEZUIA MIANYA YOTE WAMEBAKIA KULIA NA KUSAGA MENO
WATU WAMEANZA KUULIWA USIKU NA WALA HAWAKUWA WAANDAMANAJI! je SHEIKH SHARIF MAJINI mbona kauwawa na majini yake? je aliandamana?Naona hoja ya msingi inakwepwa na Kitima anaenda kuongelea output. Swali kama hili analiogopa kama ukoma. Hakuna mwandishi yeyote wa habari amewahi kumuuliza na akalijibu kwa usahihi.
Nataka nimuulize anijibu kule aliko. Je, hiyo tarehe kulikuwa na maandamano au vandalism?
Je, kwanini walipanga kufanya siku hiyo?
Kama hujibu maswali haya kwa ufasaha basi wewe utakuwa ndiye mfadhili wa vurugu hizo.
Nawasilisha
Naona hoja ya msingi inakwepwa na Kitima anaenda kuongelea output. Swali kama hili analiogopa kama ukoma. Hakuna mwandishi yeyote wa habari amewahi kumuuliza na akalijibu kwa usahihi.
Nataka nimuulize anijibu kule aliko. Je, hiyo tarehe kulikuwa na maandamano au vandalism?
Je, kwanini walipanga kufanya siku hiyo?
Kama hujibu maswali haya kwa ufasaha basi wewe utakuwa ndiye mfadhili wa vurugu hizo.
Nawasilisha
Kwa mlivyokaliwa kooni dunia nzima hakuna hata nzi mtayemuua hiyo D9!!mdomo mali yao wajaribu kuingia tena barabarani waoni shaba ilivyo tamu
Kitima anatakiwa aongee ukweli. Anapoongea uongo anamdanganya nani? Wote waliojaribu kupindua nchi wali fail.OCT 29 kulikuwa na yafuatayo.
1.Maandamano.
2.Uporaji.
3.Mauaji.
Kila aliyehusika awajibike kutokana na UZITO wa kosa alilolitenda.
nani katukalia larry? enheeeeee enheeeeee B 400 ambayo ni mapato ya masoko tu? tozo ya mabango tu ikiongezwa elfu 50 ni trilioni 1 kwa hiyo hatuteterekiKwa mlivyokaliwa kooni dunia nzima hakuna hata nzi mtayemuua hiyo D9!!
Qewe ni matakoNaona hoja ya msingi inakwepwa na Kitima anaenda kuongelea output. Swali kama hili analiogopa kama ukoma. Hakuna mwandishi yeyote wa habari amewahi kumuuliza na akalijibu kwa usahihi.
Nataka nimuulize anijibu kule aliko. Je, hiyo tarehe kulikuwa na maandamano au vandalism?
Je, kwanini walipanga kufanya siku hiyo?
Kama hujibu maswali haya kwa ufasaha basi wewe utakuwa ndiye mfadhili wa vurugu hizo.
Nawasilisha
no 1 ana 3 hazikuwepo , no 3 ilikuwa kuthibiti majambaziOCT 29 kulikuwa na yafuatayo.
1.Maandamano.
2.Uporaji.
3.Mauaji.
Kila aliyehusika awajibike kutokana na UZITO wa kosa alilolitenda.
Doa kwako au kwa mama yenu? Ukweli ni kama pembe la ng'ombe haufichikiHili swali lisipojibiwa kanisa katoliki litakuwa limejitia doa.