PostGE2025 Nakuuliza Kitima, Oktoba 29 kulikuwa na maandamano au vandalism? Namna ya kukabiliana na vandalism ni ipi kwa mujibu wa imani yako?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

President of China

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
31,548
Reaction score
89,516
Naona hoja ya msingi inakwepwa na Kitima anaenda kuongelea output. Swali kama hili analiogopa kama ukoma. Hakuna mwandishi yeyote wa habari amewahi kumuuliza na akalijibu kwa usahihi.

Nataka nimuulize anijibu kule aliko. Je, hiyo tarehe kulikuwa na maandamano au vandalism?
Je, kwanini walipanga kufanya siku hiyo?

Kama hujibu maswali haya kwa ufasaha basi wewe utakuwa ndiye mfadhili wa vurugu hizo.

Nawasilisha
 
Nachopendea Wakatoliki, wanatoa msg moja tu kwa mamlaka halafu wanatulia.

Nachoishangaa mamlaka Sasa, haijawahi kukanusha, kukubali Wala kuhoji kuhusu hoja za TEC. Na wenyewe wanapiga kimya.

Ila Sasa Cha ajabu, vinaibuka vikundi vya kigaidi kila Kona kuja kuwatukana TEC na vihoja vyao vya kujidhalilisha kama huyu bwege mtoa mada hii.
 
Hili swali lisipojibiwa kanisa katoliki litakuwa limejitia doa.
Unaongea mashudu wewe nzi wa kijani kwani nyie kipindi mnafanya kidnaping na ransom kwa wapinzani sio Vandalism? Mmefake Uchaguzi sio Vandalism? Mmefanya mascare sio vandalism?
Kitima mwenyewe nusura atangulizwe ponea ponea ile sio Vandalism? Unabwata hiki mara kitima anakwepa kujibu direct mara kanisa katoliki linakwepa kutoa majibu. nyinyi mnaongea upuuzi wenu lakini hamwongelei idadi ya maelfu ya wahanga acha umakumaku watu wana machungu na ndugu zao waliopotezwa wewe unaleta ungese hapa kmmk.
 
Naona hoja ya msingi inakwepwa na Kitima anaenda kuongelea output. Swali kama hili analiogopa kama ukoma. Hakuna mwandishi yeyote wa habari amewahi kumuuliza na akalijibu kwa usahihi.

Nataka nimuulize anijibu kule aliko. Je, hiyo tarehe kulikuwa na maandamano au vandalism?
Je, kwanini walipanga kufanya siku hiyo?

Kama hujibu maswali haya kwa ufasaha basi wewe utakuwa ndiye mfadhili wa vurugu hizo.

Nawasilisha
mdomo mali yao wajaribu kuingia tena barabarani waoni shaba ilivyo tamu
 
Naona hoja ya msingi inakwepwa na Kitima anaenda kuongelea output. Swali kama hili analiogopa kama ukoma. Hakuna mwandishi yeyote wa habari amewahi kumuuliza na akalijibu kwa usahihi.

Nataka nimuulize anijibu kule aliko. Je, hiyo tarehe kulikuwa na maandamano au vandalism?
Je, kwanini walipanga kufanya siku hiyo?

Kama hujibu maswali haya kwa ufasaha basi wewe utakuwa ndiye mfadhili wa vurugu hizo.

Nawasilisha
Umeandika uharo.
 
What about wale ambao walifatwa home? Au wale watoto wa Ile academy ya mpira?

How do you call it Kwa Iman yako?
 
Leo "sink tank" wa uvcc wameachiliwa huru.

Mmeifungia JF lakiji kutwa kuchwa mnaleta mauchafu yenu humu.

Yale magroup ya ccm yamejaa leo?
 
Wewe mjinga yale yote yakitokea kwa sababu watanzania walikuwa na hasira na mambo maovu na CCM.yale ni maandamano yaliyochangamana na hasira na lazima tuwamalize nyie na mafisadi wote
Naona hoja ya msingi inakwepwa na Kitima anaenda kuongelea output. Swali kama hili analiogopa kama ukoma. Hakuna mwandishi yeyote wa habari amewahi kumuuliza na akalijibu kwa usahihi.

Nataka nimuulize anijibu kule aliko. Je, hiyo tarehe kulikuwa na maandamano au vandalism?
Je, kwanini walipanga kufanya siku hiyo?

Kama hujibu maswali haya kwa ufasaha basi wewe utakuwa ndiye mfadhili wa vurugu hizo.

Nawasilish
 
1.Ni nani aliagiza watu wapigwe risasi na kuuawa vile?
2.Wapigaji risasi wale ni wakina nani na wapo wapi?
3.Ni kwanini uchaguzi ufanyike kwa namna OVU kwa kiwango kile?
4.Watu waliokufa wapo wapi?
5.Wataongozaje taifa la watu wasiowataka?
6.Ni nani anayeteka na kuua watanzania?
Waliotekwa wapo wapi?

Haya maswali wayatafakari na wayazingatie
 
Naona hoja ya msingi inakwepwa na Kitima anaenda kuongelea output. Swali kama hili analiogopa kama ukoma. Hakuna mwandishi yeyote wa habari amewahi kumuuliza na akalijibu kwa usahihi.

Nataka nimuulize anijibu kule aliko. Je, hiyo tarehe kulikuwa na maandamano au vandalism?
Je, kwanini walipanga kufanya siku hiyo?

Kama hujibu maswali haya kwa ufasaha basi wewe utakuwa ndiye mfadhili wa vurugu hizo.

Nawasilisha
Kulikuwa na massacre na wafadhili wa vurugu na Samia, tume ya uchaguzi, genge la mauaji la Samia linaloongozwa na Mafwele. Bila mauaji, utekaji na utesaji wa genge la Samia wala kusingekuwa na maandamano sasa ndiyo amezidi kuharibu baada ya udanganyifu mkubwa uliofanyika katika kile kilichopaswa kuwa ni uchaguzi. Kuhamisha magoli hakutawasaidia chochote.
Samia na wahuni wenzake ndio chanzo cha maandamano.
 
Hili swali lisipojibiwa kanisa katoliki litakuwa limejitia doa.
Swali lako haliwezi kuitia doa institution inayosimama na Gen Z wanaopambania kesho yao.
Vipi doa la Samia na serikali yake la kuua raia wasiokuwa na silaha na kufukia baadhi ya miili kwenye mass graves? Hilo doa limekaaje? Vipi doa la institution iliyosema watakata watu kwa mapanga kama wataandamana?
 
Watu wanaingia na Sasa hivi ni Genz ,kaka zao na wazazi.lazima nyie tuwatoe na tuwakamate na mnyongwe wewe na Samia kwa mauaji mliyofanya.Watanzania tumeamka na hatuogopi risasi tunaposafisha nchi yetu.
cruise 2 tu zilimaliza ujinga wote dar
 
Naona hoja ya msingi inakwepwa na Kitima anaenda kuongelea output. Swali kama hili analiogopa kama ukoma. Hakuna mwandishi yeyote wa habari amewahi kumuuliza na akalijibu kwa usahihi.

Nataka nimuulize anijibu kule aliko. Je, hiyo tarehe kulikuwa na maandamano au vandalism?
Je, kwanini walipanga kufanya siku hiyo?

Kama hujibu maswali haya kwa ufasaha basi wewe utakuwa ndiye mfadhili wa vurugu hizo.

Nawasilisha
Kuwauwa watu kwa kuwapiga risasi za moto.
 
Back
Top Bottom