Nakutakieni eid njema ndugu zangu waislaam

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Ninacho waomba endelezeni yale mema mliyokuwa mnayafanya siku zote za mfungo mtukufu.
Tupendane, tusaidiane na tutakiane kheri kwa kila jambo.
asalaam alekum. mia
 
afadhali mfungo umeisha ili tupambane na hii sensa pamoja na kwamba wameshaanza kutuomba msamaha lakini hatuhesabiwi..
 
afadhali mfungo umeisha ili tupambane na hii sensa pamoja na kwamba wameshaanza kutuomba msamaha lakini hatuhesabiwi..

hahahahahahahaaaa....!!!. mkuu acha kuwainjoy. naskia wametangaza leo kwenye miskiti eti hamna sensa. Mi nawaomba waislaam wahesabiwe waachane na imani za wakina mitomingi. mia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom