Nakutaka wewe.....................


M'Jr

M'Jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Messages
3,588
Likes
217
Points
160
M'Jr

M'Jr

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2011
3,588 217 160
Nakutaka wewe,

Wewe wa kike ambaye umekuwa ukichangia sana post zangu,
wewe ambaye umekuwa unapitia kutazama profile yangu,
nasema na wewe wa kike ambaye unastahili kila kilicho cha kwangu,
nakutaka wewem wewe tu uje uwe wangu
 
Ndechumia

Ndechumia

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2011
Messages
1,014
Likes
26
Points
145
Ndechumia

Ndechumia

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2011
1,014 26 145
hii ni kitu gan? unajifunza kuimba bongo flava?
 
Mr Rocky

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Messages
15,192
Likes
588
Points
280
Mr Rocky

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2007
15,192 588 280
Hiyo single itakuwa matata sana
Mkuu unikumbuke kunipa cd yake
 
sweetlady

sweetlady

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Messages
16,979
Likes
96
Points
145
sweetlady

sweetlady

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2010
16,979 96 145
Mtafute Master J kwa msaada zaidi...
 
H

hayaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
476
Likes
0
Points
33
H

hayaka

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
476 0 33
mbona hukuingia bongo star search?????
 
sweetlady

sweetlady

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Messages
16,979
Likes
96
Points
145
sweetlady

sweetlady

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2010
16,979 96 145
We mwanamke mtamu huo ujumbe unaenda kwa mtu, huenda ukawa wewe.................
No! mpendwa, mie mgeni humu jf, we subiri tu huyo anayepitia profile yako kila siku atakuja!
 
Mr Rocky

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Messages
15,192
Likes
588
Points
280
Mr Rocky

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2007
15,192 588 280
Hahahahaaa kaka usikonde maandalizi hayo ila sitaki manager maana wamekuwa wakora ile mbaya
Nitafute niongeze vocal mkuu japo naimba sauti ya kumi na mbili
 
M'Jr

M'Jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Messages
3,588
Likes
217
Points
160
M'Jr

M'Jr

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2011
3,588 217 160
No! mpendwa, mie mgeni humu jf, we subiri tu huyo anayepitia profile yako kila siku atakuja!
Ah we hujasikia muziki ni mafumbo! Hiyo profile yaweza maanisha kitu kingine kabisam teh teh teh
 

Forum statistics

Threads 1,236,611
Members 475,218
Posts 29,263,999