Nakutaka wewe.....................

Nakutaka wewe.....................

hahahahaha! Pj umenichekesha. Lol.
Hivi kwanini huwa wanashika hapo?
Huko ndiko mashairi yanakotokea, halafu si unajua lazima wapige ile kitu ya arusha so huwa inakimbilia huko.........
 
No! mpendwa, mie mgeni humu jf, we subiri tu huyo anayepitia profile yako kila siku atakuja!
Sasa si umpe laivu tu kwamba asikufatefate, wewe unanimaindi mimi.
Wanawake kwa kuzunguka zunguka bana!
 
Sasa si umpe laivu tu kwamba asikufatefate, wewe unanimaindi mimi.
Wanawake kwa kuzunguka zunguka bana!
Hahaha..nilijua upo around hivyo utanisaidia kumwambia ndo tumemaliza honeymoon usiku wa kuamkia leo! Uporoto atakuwa shahidi kwenye hili.
 
Hahaha..nilijua upo around hivyo utanisaidia kumwambia ndo tumemaliza honeymoon usiku wa kuamkia leo! Uporoto atakuwa shahidi kwenye hili.
Mtu mzima hatishiwi nyau kwahiyo sitishiki mpaka kieleweke
 
Piga zoezi la kupiga fiksi.
Labda atasikia kilio chako.
OTIS.
 
Piga zoezi la kupiga fiksi.
Labda atasikia kilio chako.
OTIS.
Dah sasa mi nimekulia kwenye dini nikaambiwa kupiga fix dhambi sa si itakuwa tabu sana kwangu!
 
Ungegonga na chorus ingekuwa pouwa niaje..
 
Yaani pakajimmy amejua kuipotezea direction hii topic.lol.
 
Back
Top Bottom