Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Wanajamvi tangu kombe la dunia limeanza hawa Airtel wamekuwa wakinilazimisha kunitumia updates za mechi zinazochezwa na kukata ela toka kwenye credit,wakati sijaomba kujiunga na huduma hiyo,nimewapigia huduma kwa wateja wamesema niandike STOPNOW kwenda 15033,lakini msg haipokelewi,huu si wizi?