Mkuu unawakopaje hawa washenzi maana wamezidi kunionea, nataka namimi niwakomoe sasa.
bonyeza *149*44#
Mkuu unawakopaje hawa washenzi maana wamezidi kunionea, nataka namimi niwakomoe sasa.
Wanajamvi tangu kombe la dunia limeanza hawa Airtel wamekuwa wakinilazimisha kunitumia updates za mechi zinazochezwa na kukata ela toka kwenye credit,wakati sijaomba kujiunga na huduma hiyo,nimewapigia huduma kwa wateja wamesema niandike STOPNOW kwenda 15033,lakini msg haipokelewi,huu si wizi?
Huyu hasijidanganye kama hata kura lakimoja anaweza kupata,akahubiri katiba ya ccm kama babake.
Mkuu unawakopaje hawa washenzi maana wamezidi kunionea, nataka namimi niwakomoe sasa.
Kwa hali nnavyoiona basi bora Tigo