Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,708
Bishop Hiluka mimi na nyoka hapana aise hata nikiona picha tuu naogopa
Kama nakuona vile jinsi unavyosisimkwa baada ya kuona picha...
Mkuu wacha tuu aise huyu kiumbe hapana aise haswa hawa wakubwa akina cobra na chatu na anaconda au black mamba au wale wa kijani wale duuh mkuu Bishop Hiluka hapana aise
Huyo nyoka nahisi anaweza kuwa na albinism
Heading ungeweka nyoka ili wengine tupite,ona sasa umeniharibia usiku wangu!!!!!!
Hahahahahaaaaa... Pole sana mkuu...
mbona sura yake imekaa kiBaby baby,
sijui hata kama anauma huyu.
hata mkia unamshika na picha unapiga nae.
Nyoka ni watambaachi au reptilia wasio na miguu. Kuna takriban spishi 3,000 duniani wako kwenye mabara yote nje ya Antaktiki na Aktiki.MziziMkavu mkuu wangu nyoka anaishi miaka mingapi?
The snake with albinism. Nadhani pia atakuwa na uono hafifu!