Nakushangaa wewe

Nakushangaa wewe

darling-tone

Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
60
Reaction score
11
Wangaruka.....

Mwanaume raha yake akuhudumie bwana. Sio kwamba kwa ubaya ila basi kunogesha penzi. Haina maana kabisa kama mwanaume wako ana uwezo wa kufanya jambo fulani ila halifanyi kwako kama mpenziwe.

Unapokuwa na girlfriend jipange kumhudumia japo kwa machache kulingana na uwezo wako. Utakuta kaka mtu mzima anafanya kazi, ana uwezo wa kupata mahitaji muhimu na chenji inabaki eti hataki kumhudumia msichana wake kwa lolote. Anachotaka yeye ni kuja kuchomeka tu bila kujali pafyumu alojipuliza hadi ananukia imetoka wapi, gari analoendesha na kila siku kumudu mafuta limetoka wapi, kodi analipa imetoka wapi, nguo anazovaa na kupendeza hadi anakuvutia hujui zimetoka wapi. Ninasema nakushangaa kwani unautaka utamu wakati kugharamia hutaki. Nyie ndio mnawafanya wanawake wawe na wanaume wengi ili angalau kulipiza pale ambapo hujatimiza (kusema hivi sio kwamba nawasapoti wanawake wahuni ila huenda ni moja ya sababu wanafanya vile kwani aliyenaye hatimizi majukumu).

Kama unajiona hujajipanga na bado unaendekeza uchoyo basi usiwe na girlfriend. Ishi mwenyewe na uchoyo wako huo wa kutomnunulia hata chu...pi mpenzio.

Huu ni ukweli nawashangaa sana wanaume ambao hupenda sana kulalia vifua vya wanawake ila kutoa huduma haataki. Ukimuita girlfriend/mchumba ama mke basi onyesha walau huduma sio kila siku wewe unanogewa na utamu tu ila mengine hutaki. Kumbuka penye utamu palitengenezwa so na wewe changia matengenezo.

Na wanawake sina maana mbweteke tu, siku moja moja kwa hela zile zile unazopewa waweza zitumia kumtafutia hata kizawadi jamaa yako ili walau aweze kuona nae anajaliwa. Wanasema ukila na kipofu usimshike mkono.

Mwisho:

Sina maana mbaya kwa mada hii ila nimewiwa baada ya kuona wanaume wengi wanaonyesha kukerwa na ile dhana ya wao kuombwa huduma na wadada.....huu ni wajibu wenu as far as K na uhusiano is concerned. Ni moja ya njia za kuprove your manhood. Ukiona huombwi matumizi basi mhusika atakuwa anaona tu aibu na hivyo bila hiyana unapaswa umpe hata bila kuombwa. naomba wale rafiki zangu wanielewe.

Habari ndio hiyo.
J/Pili njema.
 
Haya tumekusikia Mkuu DT.

Last edited by a moderator:
Hahaha mambo ya beijing yanahusika sana hapa. Ngoja waje kwanza wakereketwa wa haki za kiume ndipo ntapaata cha kuchangia.
 
Aaaaah kila mtu ajitegemee,mwanamke unajielewa unataka utunzwe kama mtoto,kuna mengine ya kusaidiana ila siwezi kuchunwa.

Aaaah nikiona we wa kuchuna p**bu si mzigo natambaa zangu
 
karne hii bado unasubiria kuhongwa kisa unamiliki k umesahau na wao wanamiliki penisula,jitegemee mtoto wa kike hutaki endelea kuwapanga kama mafungu ya nyanya ila VCT usisahau kutia maguu.
 
Mie hata sijaelewa. Unataka kugawa majukumu? Kwamba wewe una jukumu la nanihii na yeye la kuhudumia? Kwani yeye nanihii yake huitumii?

Ofcoz kuna wanaume wanapenda uslope mno. Ila kama ni huduma, raha inakuwa kuhudumiana. Sio mmoja kuhudumiwa.
 
haswaaa!!!!!!!!
paw hayupo nini ,mbona hujalala till saiz?
 
Mie hata sijaelewa.
Unataka kugawa majukumu? Kwamba wewe una jukumu la nanihii na yeye la
kuhudumia? Kwani yeye nanihii yake huitumii?

Ofcoz kuna wanaume wanapenda uslope mno. Ila kama ni huduma, raha
inakuwa kuhudumiana. Sio mmoja kuhudumiwa.

Mumeo/Mpenzio ana bahati sana kuwa na wewe, una akili za kimaendeleo.
 
Mie hata sijaelewa. Unataka kugawa majukumu? Kwamba wewe una jukumu la nanihii na yeye la kuhudumia? Kwani yeye nanihii yake huitumii?

Ofcoz kuna wanaume wanapenda uslope mno. Ila kama ni huduma, raha inakuwa kuhudumiana. Sio mmoja kuhudumiwa.
Nimekuelewa kuliko nilivyokuwa naelewa saradani
 
karne hii bado unasubiria kuhongwa kisa unamiliki k umesahau na wao wanamiliki penisula,jitegemee mtoto wa kike hutaki endelea kuwapanga kama mafungu ya nyanya ila VCT usisahau kutia maguu.
Conscious woman....thumb up n applauded loud. .. :clap2:
 
karne hii bado unasubiria kuhongwa kisa unamiliki k umesahau na wao wanamiliki penisula,jitegemee mtoto wa kike hutaki endelea kuwapanga kama mafungu ya nyanya ila VCT usisahau kutia maguu.

Well said Asnam , nimekupenda ghafla!
 
Last edited by a moderator:
....HASARA NI; ....pale mwanamke anapokuwa na mtazamo kwamba ni JUKUMU la mwanaume wake Kumhudumia (sio kumsaidia!)
 
Ona sasa akili za hawa dada zetu na mama zetu tabu tuuuupu! wamejikalia kusubiri kupewa...ndo maana wengi wenu mnaishia kuchezewa hovyo hovyo..kweli wengi wenu majanga...tutawachezea mkileta ugogo tunasepa! ptuuuuuuuuuu
 
Wangaruka.....

Mwanaume raha yake akuhudumie bwana. Sio kwamba kwa ubaya ila basi kunogesha penzi. Haina maana kabisa kama mwanaume wako ana uwezo wa kufanya jambo fulani ila halifanyi kwako kama mpenziwe.

Unapokuwa na girlfriend jipange kumhudumia japo kwa machache kulingana na uwezo wako. Utakuta kaka mtu mzima anafanya kazi, ana uwezo wa kupata mahitaji muhimu na chenji inabaki eti hataki kumhudumia msichana wake kwa lolote. Anachotaka yeye ni kuja kuchomeka tu bila kujali pafyumu alojipuliza hadi ananukia imetoka wapi, gari analoendesha na kila siku kumudu mafuta limetoka wapi, kodi analipa imetoka wapi, nguo anazovaa na kupendeza hadi anakuvutia hujui zimetoka wapi. Ninasema nakushangaa kwani unautaka utamu wakati kugharamia hutaki. Nyie ndio mnawafanya wanawake wawe na wanaume wengi ili angalau kulipiza pale ambapo hujatimiza (kusema hivi sio kwamba nawasapoti wanawake wahuni ila huenda ni moja ya sababu wanafanya vile kwani aliyenaye hatimizi majukumu).

Kama unajiona hujajipanga na bado unaendekeza uchoyo basi usiwe na girlfriend. Ishi mwenyewe na uchoyo wako huo wa kutomnunulia hata chu...pi mpenzio.

Huu ni ukweli nawashangaa sana wanaume ambao hupenda sana kulalia vifua vya wanawake ila kutoa huduma haataki. Ukimuita girlfriend/mchumba ama mke basi onyesha walau huduma sio kila siku wewe unanogewa na utamu tu ila mengine hutaki. Kumbuka penye utamu palitengenezwa so na wewe changia matengenezo.

Na wanawake sina maana mbweteke tu, siku moja moja kwa hela zile zile unazopewa waweza zitumia kumtafutia hata kizawadi jamaa yako ili walau aweze kuona nae anajaliwa. Wanasema ukila na kipofu usimshike mkono.

Mwisho:

Sina maana mbaya kwa mada hii ila nimewiwa baada ya kuona wanaume wengi wanaonyesha kukerwa na ile dhana ya wao kuombwa huduma na wadada.....huu ni wajibu wenu as far as K na uhusiano is concerned. Ni moja ya njia za kuprove your manhood. Ukiona huombwi matumizi basi mhusika atakuwa anaona tu aibu na hivyo bila hiyana unapaswa umpe hata bila kuombwa. naomba wale rafiki zangu wanielewe.

Habari ndio hiyo.
J/Pili njema.

kweli kizuri kina gharama haya mkuu tumikusikia..
 
Aaaaah kila mtu ajitegemee,mwanamke unajielewa unataka utunzwe kama mtoto,kuna mengine ya kusaidiana ila siwezi kuchunwa.

Aaaah nikiona we wa kuchuna p**bu si mzigo natambaa zangu

women ideology.. kwenye kutoa maamuzi wote wanahaki yaani mwanaume na mwanamke kwenye kutoa hela hela za matumizi na mambo mengine mengine mwanaume ana haki mwanamke hana haki hiyo proved soma thread..
 
karne hii bado unasubiria kuhongwa kisa unamiliki k umesahau na wao wanamiliki penisula,jitegemee mtoto wa kike hutaki endelea kuwapanga kama mafungu ya nyanya ila VCT usisahau kutia maguu.

Mie hata sijaelewa. Unataka kugawa majukumu? Kwamba wewe una jukumu la nanihii na yeye la kuhudumia? Kwani yeye nanihii yake huitumii?

Ofcoz kuna wanaume wanapenda uslope mno. Ila kama ni huduma, raha inakuwa kuhudumiana. Sio mmoja kuhudumiwa.

Jamani sijui nilikuwa wapi nikalipata hili gume gume lenye akili kama za Darling-tone wakati kuna wanawake wanaojitambua kama hawa Asnam na King'ast?

Tena we Darling tone usirudie kutusalimia kwa Kinyamwezi maana dada zangu wa Kinyamwezi hawana akili nusu kama hizi zako.

CC: Kaunga etc
 
Wangaruka.....

Mwanaume raha yake akuhudumie bwana. Sio kwamba kwa ubaya ila basi kunogesha penzi. Haina maana kabisa kama mwanaume wako ana uwezo wa kufanya jambo fulani ila halifanyi kwako kama mpenziwe.

Unapokuwa na girlfriend jipange kumhudumia japo kwa machache kulingana na uwezo wako. Utakuta kaka mtu mzima anafanya kazi, ana uwezo wa kupata mahitaji muhimu na chenji inabaki eti hataki kumhudumia msichana wake kwa lolote. Anachotaka yeye ni kuja kuchomeka tu bila kujali pafyumu alojipuliza hadi ananukia imetoka wapi, gari analoendesha na kila siku kumudu mafuta limetoka wapi, kodi analipa imetoka wapi, nguo anazovaa na kupendeza hadi anakuvutia hujui zimetoka wapi. Ninasema nakushangaa kwani unautaka utamu wakati kugharamia hutaki. Nyie ndio mnawafanya wanawake wawe na wanaume wengi ili angalau kulipiza pale ambapo hujatimiza (kusema hivi sio kwamba nawasapoti wanawake wahuni ila huenda ni moja ya sababu wanafanya vile kwani aliyenaye hatimizi majukumu).

Kama unajiona hujajipanga na bado unaendekeza uchoyo basi usiwe na girlfriend. Ishi mwenyewe na uchoyo wako huo wa kutomnunulia hata chu...pi mpenzio.

Huu ni ukweli nawashangaa sana wanaume ambao hupenda sana kulalia vifua vya wanawake ila kutoa huduma haataki. Ukimuita girlfriend/mchumba ama mke basi onyesha walau huduma sio kila siku wewe unanogewa na utamu tu ila mengine hutaki. Kumbuka penye utamu palitengenezwa so na wewe changia matengenezo.

Na wanawake sina maana mbweteke tu, siku moja moja kwa hela zile zile unazopewa waweza zitumia kumtafutia hata kizawadi jamaa yako ili walau aweze kuona nae anajaliwa. Wanasema ukila na kipofu usimshike mkono.

Mwisho:

Sina maana mbaya kwa mada hii ila nimewiwa baada ya kuona wanaume wengi wanaonyesha kukerwa na ile dhana ya wao kuombwa huduma na wadada.....huu ni wajibu wenu as far as K na uhusiano is concerned. Ni moja ya njia za kuprove your manhood. Ukiona huombwi matumizi basi mhusika atakuwa anaona tu aibu na hivyo bila hiyana unapaswa umpe hata bila kuombwa. naomba wale rafiki zangu wanielewe.

Habari ndio hiyo.
J/Pili njema.

hii ndio akili ya "DEMU WA KISWAHILI"...........
 
Back
Top Bottom