Nakushangaa wewe

Nakushangaa wewe

Badala ya kunung'unika muende mkatafute hela ili muwahudumie wapenzi wenu. Nimetaja tu swala la K kama mfano. Point ni kwamba wanaume wanawaza kuwatumia wanawake tu bila kujali matunzo. Mtaandamana lakini mwisho wa siku nimesema ukweli.

mwaya wasikushambulie kwa kusema ukweli, mwanaume majukumu ati! mimi ni mwanaume lakini nakubaliana na mada yako. Wanaume wanaokupinga wengi wao ni wale wanaoogopa majukumu au wenye kipato kiduchu, na wanawake wanaopinga wengi wao ni wale wanaojiweza kimaisha.

Hajaribu ku-imagine wadada wanavyojiandaaga (kuoga vizuri, manukato safi, pamba nzuri etc) kwenda kwa boyfriends wao, tena wengi kwa kutumia kijipato chake kidogo au kwa kupewa na wazazi, ndg halafu anaishia kuchafuliwa tu na jamaa, hata haonyeshi kuchangia hizo gharam, loh! pum....bu zetu!!! sikubali hata kidogo!!

Jamani wanawake wanapenda kupendwa!!! shida vijana wa digitali wanataka vaisivesa! mwanaume kuheshimiwa bhana!
 
Vijana wengi ni mario, wakwepa majukumu. Wanawake wengi waliopinga hapa wanaajidai kujifanya mbele ya keyboard kwamba ni wema kumbe sio. Hii ni reality ya maisha. Ichukue au iache. JF kila mtu anajifanya mwema na mpinga uovu ila watu wa JF ni hawa hawa walioko mtaani ambao ni wachunaji, malaya , wanafiki n.k.
 
kwani unauza sh ngapi hiyo k yako?
 
Vijana wengi ni mario, wakwepa majukumu. Wanawake wengi waliopinga hapa wanaajidai kujifanya mbele ya keyboard kwamba ni wema kumbe sio. Hii ni reality ya maisha. Ichukue au iache. JF kila mtu anajifanya mwema na mpinga uovu ila watu wa JF ni hawa hawa walioko mtaani ambao ni wachunaji, malaya , wanafiki n.k.

mi nigekuwa mwanamke, mwanaume mkwepa majukumu haonji k yangu akyanani, acha nikaenayo hadi apatikane mwenye kunijali, kwani isipochokonolewa itaziba! kwanza ndo inazidi kuwa mnato, loh!

Hao kina mario tupa kule, kisa cha kuchafuliwa bure! mi nakula uhandsome wako? nauvaa? naupulizia mwilini wangu uninukishe? unanipeleka shopping? uhandsome uendane na majukumu ndo raha yake, sasa bure bure tu kisa handsome, kwendazako hukoooo!
 
Nani kakudanganya kuwa mwanaume anahitaji kuliko unavyohitaji.Hapa ndipo wanawake mnapofanya makosa makubwa.Inaonesha wazi kuwa,hakuna kitu kingine unachokihitaji zaidi ya kupewa mapene,mapenzi siyo pesa,pesa ni matokeo.
 
Kutoa kwa zawadi/ msaada kwa mpenzi wako wa kike au wa kiume ni kawaida na ni vizuri kwa afya ya mapenzi yeni. Tatizo ni pale ambapi zawadi/msaada hufanywa lazima au sharti la kuwa katika uhusiano.

Mara nyingi huwa nawashauri dada zetu unapokuwa na mtu ni vyema ukamuomba akufundishe kuvua samaki badala ya kutegeea akuletee samaki kila siku.

Badala ya kukimbilia kununua gari, hakikisha umeweka mazingira ya kupata mafuta. Siyo kila siku mafuta unaomba. Matokeo yake unaishia kuuza k ili kuweza ku maintain standard ya maisha fulani. Kina dada mjipange.
 
Safi sana Darling Tone...umewapasha yaani huu umekuwa ugonjwa sana kwa wanaume walio wengi zaidi sana eti wanakuja na majibu ya kwamba kama ni utamu wote tunapata.....sasa mbona labour huwa hamuendi?Duniani humu kuna majukumu!ndo mana kukawa na simba na twiga!yaani utofauti.....twende mbali kidogo mathalani Darling TONE AKAOLEWA abebe mimba azae ahudumie familida kazi za nyumbani kwa lipi hasa?sio kwamba wanawake hawasaidii ...hapa ameongelea yue mwanaume ambaye hana support yoyote yeye ni kugegeda tu,,hata soni hakuna bila matunzo...kwa hiyo wote mnaopinga mada hii ndo zenu na tumewashtukia kama ndo mimi namfukuzia mbali kwani yake inatoa maziwa!
 
^^
Ya nini Malumbano
Ya nini Maneno
Najiweka pembeni
Naepusha msongamano
Bora nitulie ningoje changu na mie
Mola nijalie haya yasijirudie..
(20%)
^^
 
Mwanamke mwenye hekima na busara nae anachacharika sio unasubiri kila kitu namna hiyo...kuna mambo madogo madogo na vingine vinakuwa kama zawadi....lakini hiyo kusubiri kila kitu....utaombs mpk nguo za ndan sasa....achana na mambo ya kiswahili hayo...ni ushamba kuwa totaly dependant...
 
mwaya wasikushambulie kwa kusema ukweli, mwanaume majukumu ati! mimi ni mwanaume lakini nakubaliana na mada yako. Wanaume wanaokupinga wengi wao ni wale wanaoogopa majukumu au wenye kipato kiduchu, na wanawake wanaopinga wengi wao ni wale wanaojiweza kimaisha. Hajaribu ku-imagine wadada wanavyojiandaaga (kuoga vizuri, manukato safi, pamba nzuri etc) kwenda kwa boyfriends wao, tena wengi kwa kutumia kijipato chake kidogo au kwa kupewa na wazazi, ndg halafu anaishia kuchafuliwa tu na jamaa, hata haonyeshi kuchangia hizo gharam, loh! pum....bu zetu!!! sikubali hata kidogo!! Jamani wanawake wanapenda kupendwa!!! shida vijana wa digitali wanataka vaisivesa! mwanaume kuheshimiwa bhana!
mwaya.....ati.....loh.....kwa misemo hii i bet ur a man.
 
mi nigekuwa mwanamke, mwanaume mkwepa majukumu haonji k yangu akyanani, acha nikaenayo hadi apatikane mwenye kunijali, kwani isipochokonolewa itaziba! kwanza ndo inazidi kuwa mnato, loh! Hao kina mario tupa kule, kisa cha kuchafuliwa bure! mi nakula uhandsome wako? nauvaa? naupulizia mwilini wangu uninukishe? unanipeleka shopping? uhandsome uendane na majukumu ndo raha yake, sasa bure bure tu kisa handsome, kwendazako hukoooo!
u dont sound like a man at all.....................
 
UKIPENDA UTAHUDUMIA TU AUTOMATICALLY . Na hijarishi wewe ni mwanaume au mwanamke, yeyote mwenye kipato for time being ni jukumu lake kuhakikisha partner wake anafurahi.
 
^^
Ya nini Malumbano
Ya nini Maneno
Najiweka pembeni
Naepusha msongamano
Bora nitulie ningoje changu na mie
Mola nijalie haya yasijirudie..
(20%)
^^

Hahahaha ukiona hivi ujue itabidi umalizie mwenyewe
 
Back
Top Bottom