Nakushangaa wewe

Nakushangaa wewe

Wangaruka.....

Mwanaume raha yake akuhudumie bwana. Sio kwamba kwa ubaya ila basi kunogesha penzi. Haina maana kabisa kama mwanaume wako ana uwezo wa kufanya jambo fulani ila halifanyi kwako kama mpenziwe.

Unapokuwa na girlfriend jipange kumhudumia japo kwa machache kulingana na uwezo wako. Utakuta kaka mtu mzima anafanya kazi, ana uwezo wa kupata mahitaji muhimu na chenji inabaki eti hataki kumhudumia msichana wake kwa lolote. Anachotaka yeye ni kuja kuchomeka tu bila kujali pafyumu alojipuliza hadi ananukia imetoka wapi, gari analoendesha na kila siku kumudu mafuta limetoka wapi, kodi analipa imetoka wapi, nguo anazovaa na kupendeza hadi anakuvutia hujui zimetoka wapi. Ninasema nakushangaa kwani unautaka utamu wakati kugharamia hutaki. Nyie ndio mnawafanya wanawake wawe na wanaume wengi ili angalau kulipiza pale ambapo hujatimiza (kusema hivi sio kwamba nawasapoti wanawake wahuni ila huenda ni moja ya sababu wanafanya vile kwani aliyenaye hatimizi majukumu).

Kama unajiona hujajipanga na bado unaendekeza uchoyo basi usiwe na girlfriend. Ishi mwenyewe na uchoyo wako huo wa kutomnunulia hata chu...pi mpenzio.

Huu ni ukweli nawashangaa sana wanaume ambao hupenda sana kulalia vifua vya wanawake ila kutoa huduma haataki. Ukimuita girlfriend/mchumba ama mke basi onyesha walau huduma sio kila siku wewe unanogewa na utamu tu ila mengine hutaki. Kumbuka penye utamu palitengenezwa so na wewe changia matengenezo.

Na wanawake sina maana mbweteke tu, siku moja moja kwa hela zile zile unazopewa waweza zitumia kumtafutia hata kizawadi jamaa yako ili walau aweze kuona nae anajaliwa. Wanasema ukila na kipofu usimshike mkono.

Mwisho:

Sina maana mbaya kwa mada hii ila nimewiwa baada ya kuona wanaume wengi wanaonyesha kukerwa na ile dhana ya wao kuombwa huduma na wadada.....huu ni wajibu wenu as far as K na uhusiano is concerned. Ni moja ya njia za kuprove your manhood. Ukiona huombwi matumizi basi mhusika atakuwa anaona tu aibu na hivyo bila hiyana unapaswa umpe hata bila kuombwa. naomba wale rafiki zangu wanielewe.

Habari ndio hiyo.
J/Pili njema.
Tofauti kati ya mwanamke na mwanaume ni hii hapa mwanamke anatumia hisia kutoa maamuzi na mwanaume anatumia logic..sasa kwa mwanaume akishaona wewe unanukia freshi,umenunua gari, unajaza mafuta umeapanga sehemu freshi haiingii akilini kwamba eti unataka kuhudumiwa juu ya vitu vidogo vidogo unless uwe umehongwa kwa hiyo kihisia wewe mdada utahisi haupendwi ingawa logically mwanaume yuko correct kabisa..unanunua petroli lita 15 halafu unataka ununuliwe pafyunu sijui ch*pi...obiiinaaa u dey mad eeehh...sasa kidume nar kapanga,ana ndiga etc ndio anafanya kazi sasa kwani kwao hana familia? Bi mkubwa, wadogo zake etc..nikisahihishe gilfriend hastahili matunzo ya aina yeyote ile ni mke tu ndo anaestahili hivyo vitu kama matunzo etc maana hata bible haimtambui gilfriend maana mwanaume anaaswa amtunze mkewe sio gilfriend..gilfriend ni concubine ambaye kisheria halipwi wala hastahili chochote kile..ukisoma hii kitu tumia logic na sio hisia..ukitaka maisha yako yawe magumu duniani hapa tumia hisia..daaah..i feel so good nimeimaster logic..via emotionless nigga..0ver..!!
 
DT tatizo hao ambao wangekuelewa hawana muda wa kuingia jf kama wapo ni wa2 au 3 wako busy wanatafuta pesa ya kutunza wapenzi na maisha yao, kama leo wamechoka full kulala kwa hiyo hapa unapoteza energy tu
 
MWangaruka.....

Ninasema nakushangaa kwani unautaka utamu wakati kugharamia hutaki. Nyie ndio mnawafanya wanawake wawe na wanaume wengi ili angalau kulipiza pale ambapo hujatimiza (kusema hivi sio kwamba nawasapoti wanawake wahuni ila huenda ni moja ya sababu wanafanya vile kwani aliyenaye hatimizi majukumu).

Habari ndio hiyo.
J/Pili njema.

Owkey..mfano sitaki utamu wake mimi nataka niwe naye tu kwa uhusiano unaolenga kwenye ndoa ,so nisipomhudumia nakuwa sahihi si ndiyo??
 
Exactly walengwa wako busy kumake things happen humu vimejaa vivulana na los3rs wanaojiconsole na mitandao ful life la kuungaunga
DT tatizo hao ambao wangekuelewa hawana muda wa kuingia jf kama wapo ni wa2 au 3 wako busy wanatafuta pesa ya kutunza wapenzi na maisha yao, kama leo wamechoka full kulala kwa hiyo hapa unapoteza energy tu
 
Exactly walengwa wako busy kumake things happen humu vimejaa vivulana na los3rs wanaojiconsole na mitandao ful life la kuungaunga

Ndo hivyo mumy we pata picha watu unawajua wanavyokuwa busy hata muda wa kula hana itakuwa mtu ambaye 24/24 yuko jf what do you expect?
 
Badala ya kunung'unika muende mkatafute hela ili muwahudumie wapenzi wenu. Nimetaja tu swala la K kama mfano. Point ni kwamba wanaume wanawaza kuwatumia wanawake tu bila kujali matunzo. Mtaandamana lakini mwisho wa siku nimesema ukweli.
 
Badala ya kunung'unika
muende mkatafute hela ili muwahudumie wapenzi wenu. Nimetaja tu swala
la K kama mfano. Point ni kwamba wanaume wanawaza kuwatumia wanawake tu
bila kujali matunzo. Mtaandamana lakini mwisho wa siku nimesema
ukweli.

darling-tone at her best!!!
 
Last edited by a moderator:
Owkey..mfano sitaki utamu wake mimi nataka niwe naye tu kwa uhusiano unaolenga kwenye ndoa ,so nisipomhudumia nakuwa sahihi si ndiyo??

Unapaswa uoneshe kujali kwa kutoa huduma kama hizo hata kama ni ndogo ndogo. Utamu una maana nyingi....ile kufurahi kuwa nae hata bila sex ni utamu pia, kwanini uone fahari kuwa nae ni kwasababu anakupendeza na hivyo wewe pia chaangia kumpendezesha
 
Ona sasa akili za hawa dada zetu na mama zetu tabu tuuuupu! wamejikalia kusubiri kupewa...ndo maana wengi wenu mnaishia kuchezewa hovyo hovyo..kweli wengi wenu majanga...tutawachezea mkileta ugogo tunasepa! ptuuuuuuuuuu

Wanawake wengi wako hivi. Hawatakwambia kamwe ila ndio walivyo. Jiulize wanachumbia wawili, mwenye hela na mhongaji na asie na hela na hahongi......mara nyingi mwenye hela anakubaliwa na wewe unaeneza injili ya maneno badala ya vitendo unaachwa.
 
Unapaswa uoneshe kujali kwa kutoa huduma kama hizo hata kama ni ndogo ndogo. Utamu una maana nyingi....ile kufurahi kuwa nae hata bila sex ni utamu pia, kwanini uone fahari kuwa nae ni kwasababu anakupendeza na hivyo wewe pia chaangia kumpendezesha

Kama ndiyo hivyo basi ungesema ishu iwe ya pande mbili. Inamaana yeye haoni fahari/raha kuwa na mm? Basi naye aniletee vizawadi..akiona shati zuri aniletee..directly nami nitajifunza kitu kutoka kwake hata kama sikuwa na lengo/wazo hilo. Kwanini mwanamke aweke dhana ya kwamba yeye ndiye anatakiwa kupewa vitu/zawadi/matunzo. Yaani utunze girlfriend??
 
Wanawake wengi wako hivi. Hawatakwambia kamwe ila ndio walivyo. Jiulize wanachumbia wawili, mwenye hela na mhongaji na asie na hela na hahongi......mara nyingi mwenye hela anakubaliwa na wewe unaeneza injili ya maneno badala ya vitendo unaachwa.

Halafu siku nyingine akikutana na mwenye pesa zaidi..anahamia huko sio?
 
Kama ndiyo hivyo basi ungesema ishu iwe ya pande mbili. Inamaana yeye haoni fahari/raha kuwa na mm? Basi naye aniletee vizawadi..akiona shati zuri aniletee..directly nami nitajifunza kitu kutoka kwake hata kama sikuwa na lengo/wazo hilo. Kwanini mwanamke aweke dhana ya kwamba yeye ndiye anatakiwa kupewa vitu/zawadi/matunzo. Yaani utunze girlfriend??

Kama ulisoma vizuri post yangu kuna mahali nilisema wanawake wasibweteke. Maana yake ilikuwa hii
 
Daah! umetisha mkuu. hilo nalo neno. unakuta m2 anakumucha 2 lakin hakuhudumii chochote. na mbaya zaidi bado anashindwa kuamini kama wampenda na kuanza kukuhisia vi2 vya ajabu. mambo mengine mnaya7babisha wenyewe wanaume halafu mnabaki kutulaumu.
 
Kama ulisoma vizuri post yangu kuna mahali nilisema wanawake wasibweteke. Maana yake ilikuwa hii

"Na wanawake sina maana mbweteke tu, siku moja moja kwa hela zile zile unazopewa waweza zitumia kumtafutia hata kizawadi jamaa yako ili walau aweze kuona nae anajaliwa. Wanasema ukila na kipofu usimshike mkono"

Hiki unachokisema hakiwezekani...say ana gari anaweka mafuta..amepanga nyumba nzuri..ila pesa ya kuninunulia zawadi asubiri niliyompa mm ndiyo anunue..kama ishu sio kubweteka pia atoe yake ya jasho lake aninunulie nami sio kusubiri za jasho langu ndio aninunulia..huko ni KUNIPAKA MAFUTA KWA MGONGO WA CHUPA. Pesa yangu ile ile eti leo niletewe shati nifurahi si bora nikanunue mwenyewe.
 
Nilimaanisha ikishindikana kabisa hasa kwa wale wasio na kipato basi kwenye zile zile wachukue wanunuepo vizawadi.
 
Back
Top Bottom