Nakupongeza kwa hili Le Mutuz u know, Sio kila siku kutupia picha na le Bebez 2

- Nilikwambia Degree 3 sio mchezo inamchukua asiye na Degree muda mrefu sana kukuelewa U know finally umekubali kwamba akili kubwa na akili ndogo ni ipi hapa? hahahahaha

Le Mutuz

Hell NO! Kujenga nyumba needs NO degreez grany and kuelewa nn?? I just said congrats kwa kujenga nyumba thats all, so hayo ya akili kubwa yametoka wapi?? Naomba hata mara moja tu JUST FOR ONCE, PLZ PLZ PLZ USITOKE NJE WA MADA PLZ WILL U??
 
- HAHAHA sihitaji your credit ndio maana yake please keep it to yourself huenda itakusaidia, ila sijajenga Nyumba mtaa wa Jamhuri downtown U know hahahahahaha sihitaji credit yako ok!!

- Nilichokuambia ndio tofauti ya kuwa na Degree 3 na kutokuwa nazo, inamchukua asiyekuwa nazo muda mrefu sana kumuelewa aliyenazo sasa tatizo lipo wapi hapo? hahahahahaha

Naona umemwadhibu kidingi huyo bwana mdogo.Kweli wazee ni hazina ya taifa.
 
- HAHAHA sihitaji your credit ndio maana yake please keep it to yourself huenda itakusaidia, ila sijajenga Nyumba mtaa wa Jamhuri downtown U know hahahahahaha sihitaji credit yako ok!!

- Nilichokuambia ndio tofauti ya kuwa na Degree 3 na kutokuwa nazo, inamchukua asiyekuwa nazo muda mrefu sana kumuelewa aliyenazo sasa tatizo lipo wapi hapo? hahahahahaha

Le Mutuz

Mi Nina degree moja sijui kitu maana ya msajili ni nini na kodi inakuaje? Naomba ufafanuzi tafadhali
 
i knew it utakuwa mkono wa baba hapa umetumika,sema tu bonge baba kapiga simu upewe nyumba,unachofanya ni kukarabati tu...

- HAHAHAHAH ndio tofauti ya kuwa na Degree 3 na kutokuwa nazo, ungekuwa nazo unegeelewa kwamba simu ingepigwa na baba ingechukua wiki moja tu kupata nyumba sio Miaka 3 hahahahaa U know!!

Pumbavu wahed miaka mitatu degree 3 nyumba yenyewe ya kupanga??? Badala ya huo mwili uliyejaa mavi tu ungepata akili mzee malecela angeshukuru sana
 
Le mutuz live ur life hacha kutafuta kiki kwa media unaonekana mtu husie na hekima haya matangazo ya maisha yako hayatysaidii kaka.Mara TV and redio then wat kaka.Wakati kuna ndugu zako kibao njaa Kali hata kuwasaidia hufanyi hivyo kazi kiki tu.Badilika kaka wewe Mkubwa sana now.
 
- Ahsante sana mkuu yaani kumbe ndio ulichojaza kwenye mwili wako duh? maana si unajisema mwenyewe umejaza nini kwenye mwili wako kwani umejuaje kama sio kuanzia na mwili wako mwenyewe? hahahahahahaha

- Naona unataka kuwa na akili za baba yangu chukua na mchukue awe baba yako, hahahahahahaha U know

Le Mutuz
 
Le mutuz live ur life hacha kutafuta kiki kwa media unaonekana mtu husie na hekima haya matangazo ya maisha yako hayatysaidii kaka.Mara TV and redio then wat kaka.Wakati kuna ndugu zako kibao njaa Kali hata kuwasaidia hufanyi hivyo kazi kiki tu.Badilika kaka wewe Mkubwa sana now.

- hahahahahaha that is how I make my money na hasa wajinga kama wewe mnapolilia ujinga na kujaza page zote hizi linapotajwa jina langu ni the more money I make so thank U keep on crying on my name niendelee kuvuta pesa zaidi hahahahahahahah!!

- Kumbuka hata House Warming Party kuna Makampuni kibao yanagombea kuidhamini, jaribu wewe uone kama utapata sponsor hata mmoja labda wewe mwenyewe na mke wako hahahahaha

Le Mutuz
 
You know sometimes maturity inakuja uzeeni....umeona mbali. Congrats!
 
Nakupongeza kwa hili Le Mutuz u know, Sio kila siku kutupia picha na le Bebez 2

- Now kumbe hujaelewa somo picha ninapiga na fans wake kwa waume na siku zote mimi big Celebrity wananchi wananiomba picha kila ninapokwenda sio kama wewe cause sio Big Star sasa unalia lia na picha, mimi nina muda wa kila kitu na wakati wake nina muda wa kupiga picha na fans na nina muda wa kutafutaa pesa, sijawahi kuchanganya hayo mambo ni watu kama wewe ndio mnajichanganya na my life style mimi mwenyewe nipo calm na under control.

- Anyways thanks, lakini may be utajifunza something kuhusu me and mylife style kwamba unavyonifikiria wala sio kabisa mimi nipo kwenye my program na right on track, soon nitakuwa kwenye Radio na TV that is my next project, kama ni nyumba ninayo Kinyerezi tena na shamba la eka 5 lakini sikutaka kukaa kule ni mbali na biashara zangu hapa mjini so relax man hunijui ila niamini pole pole utanielewa tu!!

Le Mutuz

mwalimu wangu aliwahi kuniambia ukimuona mtu anasema yeye ni mzungu... ujue kwa hakika sio mzungu.
ukimuona mzungu utamjua tu na wala yeye hawezi kukuambia yeye ni mzungu..
 
[h=2]Nakupongeza kwa hili Le Mutuz u know, Sio kila siku kutupia picha na le Bebez 2[/h]

- Now kumbe hujaelewa somo picha ninapiga na fans wake kwa waume na siku zote mimi big Celebrity wananchi wananiomba picha kila ninapokwenda sio kama wewe cause sio Big Star sasa unalia lia na picha, mimi nina muda wa kila kitu na wakati wake nina muda wa kupiga picha na fans na nina muda wa kutafutaa pesa, sijawahi kuchanganya hayo mambo ni watu kama wewe ndio mnajichanganya na my life style mimi mwenyewe nipo calm na under control.

- Anyways thanks, lakini may be utajifunza something kuhusu me and mylife style kwamba unavyonifikiria wala sio kabisa mimi nipo kwenye my program na right on track, soon nitakuwa kwenye Radio na TV that is my next project, kama ni nyumba ninayo Kinyerezi tena na shamba la eka 5 lakini sikutaka kukaa kule ni mbali na biashara zangu hapa mjini so relax man hunijui ila niamini pole pole utanielewa tu!!

Le Mutuz

ahahahah eti star haya bwana le big baharia ahahahah! bongo bwana kila mtu anajiita star!!?
 
mwalimu wangu aliwahi kuniambia ukimuona mtu anasema yeye ni mzungu... ujue kwa hakika sio mzungu.
ukimuona mzungu utamjua tu na wala yeye hawezi kukuambia yeye ni mzungu..

- Well simple trick tangaza party yako tuone wadhamini mkuu, halafu subiri naenda Mbeya kesho party nimeiahirisha nikirudi naifanya uone wadhamini waliojitokeza ndio tofauti ya Celebrity na wewe layman, it has nothing to do na mzungu it is about being Big Celebrity mimi I am wewe sio ndio maana una maneno mengi ya kujiliwaza cause ungependa uwe lakini sio, unafikiri unaweza kuwa big Celebrity kwa kutukana watu JF na majina ya bandia? hahahahahahahhaa never ndio unaona jina langu linazungumzika kwenye jukwaa la Celebrity Forum

- au unasema hili ni jukwaa la kujua mzungu na muafrika ni nani? hahahahahahaha le mburulazzzzz jipange tena!!, hebu sema ikianzishwa thread inayokuhusu hapa utapata viewers wangapi? Eti mzungu so wewe ni mzungu? hahahahahahah tuliza boli hili ni jukwa ala Celebrity sio mzungu ok!! hahahah

Le Mutuz
 
Back
Top Bottom