Nakupenda sana

Mtani snowhite mwambie huyo shemeji yako apime sehemu nyingine sio hapo kwa mnyamwezi,maana dada Kaunga huo mzigo aliofungasha na hawa wachaga wa mjini asije akaomba mcheso wa kiislamu kweli babangu,lol.Sikonge mwambie huyu mtani amuonye shemeji yake

Toa kiwingu hapa na wewe, unamtisha Kaunga anione mie firauni
wakati taratibu tunakaribia kufikia muafaka?..LoL..
Mwache The Bosss aendelee kusinzia kama hajaachwa....mjini hapa abiria chunga mzigo wako!


Aah bwana nyie mnafaa kwa matumizi ya shopping malls tu, ya chumbani ni kaka zangu bwana. Usijali naweza kukufanya kidumu, maana mimi na The Boss tuna very special and state of the art arrangement. Lol

Waaooo... Kaunga wala usiwe na wasiwasi itabidi kuchanga tu karata vizuri huyo The Boss tutadeal naye kiutu uzima achana na maneno ya Kikungu anataka tu kutibulia wenzake!
 
GO SHEM!GOOO!GO SHEM!
murete murete!
 
Heri yake anayependwa saizi

Mi najua watu siku hizi wanapenda pesa tu
 

Nimeambiwa ninyi siku hizi jiji mmeliingia kwa fujo; kiasi kwamba kila mtachokisikia lazima mkivamie; so mambo ya uliberali mko juu!
Halafu wewe hujui trick, jipendekeze kwa KIKUNGU kwa kajeep ili asibane, sasa wewe ukianza kumside line imekula kwako, wewe huoni snowhite na dadiyo Smile wanavyojigonga kwangu.
 
Last edited by a moderator:
Ewe ua langu la waridi lenye fumbo,ewe dada uliye ngao yangu na kitulizo changu.Funua macho yako uisome nakala hii fupi ya mapenzi,nakuwaza kila cku mxhana na usiku.Usingizi sipati kwa ajili yako.NAKUPENDA SANA.....................

huna kazi za kufanya ndio maana unalilia mapenzi.
 
huna kazi za kufanya ndio maana unalilia mapenzi.

Ngoja nimjibie kwa kipande cha wimbo wa Muumini


".....Si wa kwanza mimi kulilia mapenziii, toka enzi zile zamababu zetu...."
 

Ngoja nimjibie kwa kipande cha wimbo wa Muumini


".....Si wa kwanza mimi kulilia mapenziii, toka enzi zile zamababu zetu...."
shemejiiii
kweli siku hiz mko juuu!
mi ndo mana sipindui!lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…