Nakupenda sana

dadako Kaunga si ulimwachia hela ya kuninunulia shela na viatu!
sasa kachikichia nayo anasema heti sina jishepu kama lake!so amenidiskwalifai kuwa wifiye!na mie hiv nsivotaka shari nikajikalie pembeni mie!

heh!!!!!!
Jamani huu uchonganishi sasa na kaka yangu, mimi nilikudisqualify kwa vile nilifumania sms ya mapenzi uliyomtumia The Boss behind my back. Nikaona hukawii kutuenjoy familia nzima, maana kama unakula mali za wifi na kaka mtu si majanga haya??????
Bado namfatilia kwa karibu Smile nione kama anaweza kumfaa kaka KIKUNGU.
 
Last edited by a moderator:
The Boss mwenyewe ndo aliniandikia!sasa alivo mhandii vile mi ningefanyaje!
ila sasa KIKUNGU alikuwa ashafika mahesabu
nikaona ngoja nimchunie Sikonge ili angalau nitoke mrithi
sijakaa vizuri Elli nae huyu!
hiv mwantaka nini nyie wanyamwezi au ndo walitumwa na kaka yao wanichunguzeeee!
 
Last edited by a moderator:
ahaaa KIKUNGU mvaa skin jeans me nitamuweza wapi dadangu....labda Sikonge nimuepushe na shoga
 
Last edited by a moderator:

Unajua nini, wanyamwezi wanapenda sana mwanya so shosti unawaROGAROGA na mpangilio wa meno yako, na kosa jingine nililolifanya ni kuwapa story za mahanjumati yako ndio maana kumekuwa na msongamano. Shida yako na wewe kila mmoja anakutoa udenda kiasi kwamba unashindwa kuchagua. LOL
 
ahaaa KIKUNGU mvaa skin jeans me nitamuweza wapi dadangu....labda Sikonge nimuepushe na shoga

hahahah, havai skin jeans wewee; zake ni cadets na jackets chezea muingereza wa sikonge weye!
mmmmh, jiandae tu kupalikwa na Sikonge maana there is no way mjukuu wa mtemi akawa na mke mmoja.
 
Last edited by a moderator:
nsaidie basi kuchagua mmoja!manake mi nahisi nachanganyikiwa ujue
awe KIKUNGU, au Sikonge au Elli au The Boss pleease :help:
japo we unajua kamoyo kangu kako wapi nchagulie tu yeyote manake mi kwa wanyamwezi tena!sina hali kimsingi!
 
Last edited by a moderator:
nsaidie basi kuchagua mmoja!manake mi nahisi nachanganyikiwa ujue
awe KIKUNGU, au Sikonge au Elli au The Boss pleease :help:
japo we unajua kamoyo kangu kako wapi nchagulie tu yeyote manake mi kwa wanyamwezi tena!sina hali kimsingi!

Hapo pagumu, maana pamoja na kwamba ni kaka zangu ila nami nawazimikia zimikia; ndio maana naweka vizingiti kibao. Yaani sometimes l wish, mimi ningekuwa dume halafu wao wawe wanawake ningewawowa woteee mwenyewe!
Elli come zis way unishawishi niweze kukuunganishia kitu cha kingoni original; The Boss ni out of the question, tena ukiendelea kujipendekeza tutapingulua urafiki. Ngoma iko kati ya KIKUNGU na Sikonge nikupe nani:A S confused::A S confused: maana duh.....
 
Last edited by a moderator:
hahahah, havai skin jeans wewee; zake ni cadets na jackets chezea muingereza wa sikonge weye!
mmmmh, jiandae tu kupalikwa na Sikonge maana there is no way mjukuu wa mtemi akawa na mke mmoja.
mmmh mbona unanitamanisha hebu nichagulia kati ya KIKUNGU na Sikonge...unipe na reason why! mi bora mnyamwezi
 
Last edited by a moderator:
achana nao ile dawa niliyokupa nadhani inafanya kazi vizuri ndio maana ila next time itabidi tuitesi mimi na wewe kwanza.....
 
mbona unapuliza hivo...unaturusha roho na hao kaka zako hivo...mwishoni utatudai hela
 
kwani mie nina tatizo bhana? mie mkishachagua hao wote, njooni kwangu niwaonjeshe kidog kidogo mi sio mchoyo ati wala sina hata complication
 
Kaunga unaumiza roho yangu!
sasa la msingi ni kukuendea msambiazi!
manake kaka zako inaelekea wanakusikiliza sana!
kwa kweli niruhusu basi niwaonjepo basi mmoja mmoja !
yani nifanye ana ana ana do kwa vitendo!
atakayebaki ndo umpe Smile
we wifi hebu kaa kushoto kwanza nataka nilete zali la kinyamwezi uchagani!
usimwambie Nicas Mtei lakini au Mkirua wanaweza wakanifanya kisusio!
 
Last edited by a moderator:
ahahaaa unataka uonje mmoja mmoja? je kama wote watamu?
 
ahahahahahahhahaha bora ungekuwa mngoni tu!
ngekuibia wigi la FP tungewatokea kaka zako kwa mpigo!
 
Last edited by a moderator:

Umeona eeh, yaani ni ngumu sana kuwaresist kwakweli.
Tuongee chemba basi tupange jinsi ya kukuonjesha mmoja baada ya mwingine; ile threesome na The Boss unaikumbuka? Ile ilikuwa cha mtoto ngoma iko kwa hao wengine.....
"ngoja nisimwage kuku kwenye mtama wengi" LOL
Achana na wachaga hao, waache wakasake mbesa ujirushe kwa kaka zangu kwa muda!
 
Last edited by a moderator:
achana nao ile dawa niliyokupa nadhani inafanya kazi vizuri ndio maana ila next time itabidi tuitesi mimi na wewe kwanza.....
tatizo ni dadako!
ndo ananibania mpka penalti yani!
mi najua nyie wenywe mnanizimikia sana tatizo dadaenu Kaunga nae anawazimika
sasa hapo ndo unasikia nshaanza kuchimbwa mkwara wa kupinguliwa urafiki
na mimi yeye asipokuwa rafiki yangu nyie siwapati!
sasa nafanyaje mwenzio!aaaargh!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…