do you have lots lots of cash?
How many dollars you have in wallet right now?
Bado unazitafuta pesa kwa nguvu hivyo? Ngoja aje kungwi wako madam Heaven on earth atakushauri vizuri, naona bado hujatulia.do you have lots lots of cash?
How many dollars you have in wallet right now?
Mmh, kula kwa shkamoo raha sana
Una muda mwingi wa ku-hallucinate
Hahahahaha unampenda huyo kwani ni MAMA yako mkuu? hahahahahahahahahaEwe ua langu la waridi lenye fumbo,ewe dada uliye ngao yangu na kitulizo changu.Funua macho yako uisome nakala hii fupi ya mapenzi,nakuwaza kila cku mxhana na usiku.Usingizi sipati kwa ajili yako.NAKUPENDA SANA.....................
Hilo jina lako mmmmh, humu ndani linatumika kama kifupisho kwenye mada maalumu.Wewe ............................................. Njoo haraka uku unatafutwa.
hilo jina lako mmmmh, humu ndani linatumika kama kifupisho kwenye mada maalumu.
Sasa sijui unazo mbilimbili...
nikiwa naacha siku moja moja kwenda kazini kwa ajili ya kusaka ada za shule sitaki kupewa lekcha.
Eti mwalimi, shule zimeshafunguliwa?
shule zimefunguliwa ila hazina wanafunzi!
:help:
Mmmh sasa mwalimu snowhite,mbona unaniacha solemba,hebu niambie unyamwezini tunaenda lini?ha ha ha ha mtani mzima lakini?