Nakupenda Sana Mke Wangu!.......

huyo mkipanda kwenye gari yenu akikaa si mpka gia inafunikwa???
Anavyosema yeye mwenyewe ni kwamba kwenye bus au ndege ananunua siti mbili. Bila hivyo atasumbua sana abiria wengine. Na nyumbani kwake kuna viti maalumu saizi yake. Pia baadhi ya milango nyumbani kwake imepanuliwa ili apite kwa urahisi.Upana wa nyonga yake umemtoa kwenye huu ulimwengu wa saizi zetu za kawaida.
 
huyo mkipanda kwenye gari yenu akikaa si mpka gia inafunikwa???
Magari yote ya familia yake yamerekebishwa ili kutosheleza umbo lake. Viti vimepanuliwa sana na safety belt imeongezwa urefu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom