kassongo iddi
Member
- Oct 17, 2016
- 19
- 24
Habari zenu Mimi nipo dar kimaisha nahitaji mwanamke ambaye atakuwa mke wangu kama ataridhika na Mimi kwani nipo seriously na awe na umbo la kike na mnene. Tuwasiliàne Kwa namba 0713341651. Karibu
JF ni mitaa iliyopo mtandaoni tu. Maana wana JF ndio Watu wa KitaaaniHivi mnapataga kweli wake wenyewe humu au ndo hayanihusu😌😌.. Anyways Goodluck
Sawasawa 🤝🤝JF ni mitaa iliyopo mtandaoni tu. Maana wana JF ndio Watu wa Kitaaani
Jamani😃😃😂, acha kumtisha kijanaKijana unaenda kupigwa za utosi
Wanapataga mi enyewe nilipata mke hukuHivi mnapataga kweli wake wenyewe humu au ndo hayanihusu😌😌.. Anyways Goodluck
Hongera sana mkuu,, basi na yeye atapataWanapataga mi enyewe nilipata mke huku
Dawa chungu ndiyo inayoponyaJamani😃😃😂, acha kumtisha kijana
huwezi jua, kila mtu na bahati yakeDawa chungu ndiyo inayoponya
Nimemwambia kabisa ajipange
Wewe unasema bahati lakini inaweza kuwa mbaya au nzurihuwezi jua, kila mtu na bahati yake
Ila....🤭🤭Wewe unasema bahati lakini inaweza kuwa mbaya au nzuri
Ndoa tumezishuhudia hapa na zimevunjika hapa hapa
Jaribu kuomba mume 😄afu utupe feedbackHivi mnapataga kweli wake wenyewe humu au ndo hayanihusu😌😌.. Anyways Goodluck
Naona shetani yupo kazini kuhamasisha dhambi ya uzinzi tu.KATAA NDOA
NDOA NI UJAMBAZI KAMA UJAMBAZI MWINGINE
NDOA NI UKATILI
KIJANA TUNZA KIBUNDA CHAKO
KULA MIASHA YAKO
NB: KADI ZA UANACHAMA BADO ZIPO KARIBUNI KUJISAJILI KAULIMBIU KATAA NDOA TOKOMEZA UJAMBAZI