nakupenda sana mama yangu mamndenyi

Safi sana lol....hujambo lakini eeh?

Mi mzima wa afya njema....nilikunywa sana mapombe ili kupoteza mawazo baada ya kugundua kumbe umenifanya kama spear taili sweetlady.....unanitafuta kwa misimu utafikiri ujio wa mvua za masika
 
Last edited by a moderator:

Tobaaaa Ndahani futa au thibitisha kauli yako kuwa nimekufanya spea tairi........mimi huyu huyu nikufanye wewe spea tairi????......sio rahisi na haitokaa itokee mpendwa.......hili hata moyo wako utakuwa shaidi yangu!......hebu badilisha hiyo kauli manake najisikia kulia mwenzio!
 
Kumbe bado na hangover...nilifikiri ni wewe...nimesahau kabisa ni nani tena sijui...aaah sweetlady wa ukweli.
 
Hahahahah .....lol

Hapa sasa tuko pamoja manake nimecheka kwa loud spika........kusingiziwa inauma ati!
 
Nimekomaa kusingizia mtu...nimekoma kuongea huku napata the laga...nachanganya madesa,lol!

Laga mbaya Ndahani.........haya na mie nishakusamehe vile umekoma na nna hakika hutanisingizia tena!

Kama unampenda utamlinda!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom