ha ha ha ha so ni KIBISA............lol lakini even you ,you were occupied kila nikija..........kila ni8kipiga mingle.........Hehehe. ......true
Siku ile escape ulikuwa umekaa tu unasubiri warembo wakufuate
Angalia INBOX kwenye "Quote" zako hujaniona jamani.nenda kule ukaniite nije huko sijaliona me huwa sikosagi jibu kabisa