Nakupenda sana @Madame B

Nakupenda sana @Madame B

Freeland

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
14,481
Reaction score
10,234
Madame B

Nakupenda sana mwenzio
Usiku silali nakuota wewe
Nikinywa maji kwenye glasi nakuona wewe
Nikitembea nakuwa kama nimeushika mkono wako.

Nikiona tu jina lako moyo wangu unastuka
Nikisoma Comment zako najisikia raha ya pekee
Nimeshakusemea kwa mama kuwa nakupenda
Wewe ndiye malkia wa mtima wangu

Macho yako mazuri madame B
Sura yako inavutia mithili ya tausi wa pale ikulu
Umbo lako zuri kama vile cleopatra
Hapa nilipo sina hali Madame B

Madame B hujajibu barua yangu
Nilikuelezea hisia za moyo wangu
Madame B kubali kuupooza moyo wangu
Nateseka mwenzio sina hali.

Madame B nikikupigia simu haupokei
Nikikutumia meseji haujibu
Nifanye nini unielewe Madame B
Ntakununulia Chochote unachotaka mama.

Wana JF nisaidieni kumpata Madame B
Nimekonda mwenzenu kwa kumuwaza madameB Evelyn Salt uko wapi? Smile uko wapi? Mentor uko wapi? Karucee mama... Nyani Ngabu nisidieni......
 
Last edited by a moderator:
[video]Ne-Yo - One In A Million - YouTube[/video]
aya Madame B sina bahati........hiyo imekudond0kea 2014
 
[video]Ne-Yo - One In A Million - YouTube[/video]
aya Madame B sina bahati........hiyo imekudond0kea 2014
<b><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=129646" target="_blank">mwekundu</a></b>;

Mwenzenu mpaka nashindwa kula
Nashindwa kulala mwenzenu
Nashindwa kufanya kazi
Jamani rafikize madame B nisaidieni
 
Pole kaka na hongera kwa kufunguka madame njoo huku umjibu
 
Mapenzi kizunguzungu!!

Leo kapendwa huyu....

Kesho kamwagwa yule..!
 
mamaaaaaaaaaaaaaaa unaonekana kwa glass ya maji,
WAHI HUKU, uje na maelezo kwa nini hujajibu barua ya watu?kwa nini hupokei simu mpaka mtu anajitundika hewani?
 
Madame B

Nakupenda sana mwenzio
Usiku silali nakuota wewe
Nikinywa maji kwenye glasi nakuona wewe
Nikitembea nakuwa kama nimeushika mkono wako.

Nikiona tu jina lako moyo wangu unastuka
Nikisoma Comment zako najisikia raha ya pekee
Nimeshakusemea kwa mama kuwa nakupenda
Wewe ndiye malkia wa mtima wangu

Macho yako mazuri madame B
Sura yako inavutia mithili ya tausi wa pale ikulu
Umbo lako zuri kama vile cleopatra
Hapa nilipo sina hali Madame B

Madame B hujajibu barua yangu
Nilikuelezea hisia za moyo wangu
Madame B kubali kuupooza moyo wangu
Nateseka mwenzio sina hali.

Madame B nikikupigia simu haupokei
Nikikutumia meseji haujibu
Nifanye nini unielewe Madame B
Ntakununulia Chochote unachotaka mama.

Wana JF nisaidieni kumpata Madame B
Nimekonda mwenzenu kwa kumuwaza madameB Evelyn Salt uko wapi? Smile uko wapi? Mentor uko wapi? Karucee mama... Nyani Ngabu nisidieni......

Naona umechoka kuishi na pia huzipendi kucha zako pamoja na hayo memo yako ambayo yatatolewa kwa spana malaya
 
Last edited by a moderator:
Leo Roho yako itasuuzika hadi uhisi uko wapi sijui, make najua atakuja na bashasha zake utafutahi....vuta subra!!!
 
Naona umechoka kuishi na pia huzipendi kucha zako pamoja na hayo memo yako ambayo yatatolewa kwa spana malaya

Mkuu...Nimechoka kuishi kwa sababu ya kumpenda Liwazo la Moyo wangu Madame B? KWELI?
 
Last edited by a moderator:
Leo Roho yako itasuuzika hadi uhisi uko wapi sijui, make najua atakuja na bashasha zake utafutahi....vuta subra!!!
Evelyn Salt nisaidie mwenzio...mapenzi yananitesa mwenzenu...nimekufa nimeoza...sina hali kwa binti huyu...umbo lake nikimwona tu napata ganzi...yaaani we acha tu...nisaidie kusemezana na rafiki yako
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom