Nakupenda Sana Lakini Ukiendelea Hivi Nakutema!

The Analyst kwa kweli kama huyu ni mkeo yuko hivo na umeamua kumvumilia yapaswa upewe kombe? mie mtu asiyejali watoto wangu hana nafasi kwangu, lakini huwezi jua lazima kuna kitu unamboa maybe,jiangalie wapi unakosea, haiwezekani mwanamke akazanie kukaa na mashosti wake wa kike na kiume wewe uone sawa au umgombeze na kumuacha hapo mwanzo ulipoona asikii ulitakiwa kufanya kitu, whether kuongea na wazee au watu wake wa karibu, huyu mwanamke ana tabia za ajabu sana
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kilichokuwa kinambore ni upole na ustaarabu wa mumewe. Mume alipokuwa anakosewa kikubwa alichokuwa anafanya ni kumkalisha chini na kumweleza asivyopendezwa navyo na madhara yake kama vingeendelea. Baada ya kushindikana jamaa roho imemuuma hadi kageuka jiwe. Siku hizi hajali tena, yuko busy na kutafuta riziki sasa mke ndiyo anahaha kujua kulikoni na kujaribu kuligeuza jiwe kurejea katika hali yake ya zamani na kwa kuwa mambo hayarejei kwa urahisi ndiyo sababu ya vituko vya sasa.

Sasa kama alikuwa anaomba Mungu mwanamke wake abadilike iweje sasa hivi kabadilika anamwona mzigo tena?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
The Analyst kwa kweli kama huyu ni mkeo yuko hivo na umeamua kumvumilia yapaswa upewe kombe? mie mtu asiyejali watoto wangu hana nafasi kwangu, lakini huwezi jua lazima kuna kitu unamboa maybe,jiangalie wapi unakosea, haiwezekani mwanamke akazanie kukaa na mashosti wake wa kike na kiume wewe uone sawa au umgombeze na kumuacha hapo mwanzo ulipoona asikii ulitakiwa kufanya kitu, whether kuongea na wazee au watu wake wa karibu, huyu mwanamke ana tabia za ajabu sana
Kilichokuwa kinambore ni upole na ustaarabu wa mumewe. Mume alipokuwa anakosewa kikubwa alichokuwa anafanya ni kumkalisha chini na kumweleza asivyopendezwa navyo na madhara yake kama vingeendelea. Baada ya kushindikana jamaa roho imemuuma hadi kageuka jiwe. Siku hizi hajali tena, yuko busy na kutafuta riziki sasa mke ndiyo anahaha kujua kulikoni na kujaribu kuligeuza jiwe kurejea katika hali yake ya zamani na kwa kuwa mambo hayarejei kwa urahisi ndiyo sababu ya vituko vya sasa.

...Ushauri wangu Bw Analyst, wawili hawa ni bora kuachana.

Mume keshageuka jiwe, na mke huyo alisha m discredit huyo mume siku nyingi.
Hapo kinachobembelezewa sio mume abadilike, bali awe mpole tena (mw'mke) aendelee na kujiliwaza kwake.

kama ulinisoma kwenye 'chupa mpya mvinyo ule ule' nimetoa changamoto watu tujiangalie nafsi zetu tunakosea wapi,
lkabla hatujaanza walaumu weza wetu.

Umeielezea vizuri sana mada hii, kiasi hata mimi nimejiona kumbe siko peke yangu na maswahiba haya,
lakini ukweli utabakia ukweli tu. Haiwezekani Mke akaanza visa na vituko iwapo tangia mwanzo uliweka msisitizo
mambo ambayo hayapendezi kufanyiana.

Haiwezekani Mke akaendelea na vituko, ila tu nawe unapojhikubalisha hali hiyo iendelee. Nimeandika hata mimi
nilipitia huko. Nilidhani kwa kumpa nafasi nyingine tena na tena baada ya kufanyiwa makosa makubwa ilikuwa sahihi
kwakuwa nilijifariji hakuna mkamilifu. Hivi leo nikikaa na kufikiria mke alitoa mimba ya mshkaji, halafu baada ya kupona akaanza uhusiano wa kimapenzi na dakitari huyo aliyemtoa mimba, ....kwakweli leo hii nikijifikiria najiona kweli nilimuamini kijinga.

Achana nae bana, Mwanaume ukisdhageuka jiwe ndio imekwisha hiyo. Kuishi na mtu for the sdake of children hainiingii akilini.
Tokea hapo mlishakuwa mna lack effective communication ndani ya ndoa, hilo jiwe na visasi moyoni mlipuko wake
hautokuwa mzuri hata kidogo. Mwanamke huyo (kama aliyekuwa wangu) keshazoea kutishiwa nyau....

Move on!
 
Hao ndio maboss wa ukweli hawana longolongo na fitina za hapa na pale

Sure darling!
hapa natamani ijumaa ifike nipumzike.
halafu jmosi twende arusha kwa akina lizzy au unasemaje my dear!
 
Kilichokuwa kinambore ni upole na ustaarabu wa mumewe. Mume alipokuwa anakosewa kikubwa alichokuwa anafanya ni kumkalisha chini na kumweleza asivyopendezwa navyo na madhara yake kama vingeendelea. Baada ya kushindikana jamaa roho imemuuma hadi kageuka jiwe. Siku hizi hajali tena, yuko busy na kutafuta riziki sasa mke ndiyo anahaha kujua kulikoni na kujaribu kuligeuza jiwe kurejea katika hali yake ya zamani na kwa kuwa mambo hayarejei kwa urahisi ndiyo sababu ya vituko vya sasa.
Kilichomboa, au kilichoniboa? ni wewe usijifanye kusema sio wewe, hakuna mwanaume anayeweza simulia mwenzake mambo ya ndani kama hivi, hakuna mwanaume anayependa kujidhalilisha wengi wanakufa na tai shingoni, pole jikaze kiume.........Ona quote yako hii....
Unakumbuka siku uliyopokea simu yangu nilipopigiwa na binti wa kampuni ya simu ukaishia kutukanwa? wewe umepata mwanamke mwingine nahisi
 
Try to love someone and see how easily hate gets in your system. Nadhan haka kamsemo kana ukweli ndani yake
 
Tutatoka kwenye mada bure Honey! Nimeelezea mazingira ya kisa hiki katika baadhi ya post nilizofanikiwa kujibu hapo awali. Post yako hii inanitatiza kidogo maana, inaonekana unaamini kujua sana tabia za wanaume, kitu ambacho nitakubishia hadi naenda kaburini. Wanawake kama walivyo wanaume bado hawajaweza kuzijua tabia zote za opposite gender kiasi cha kumwelezea kila mmoja kwa urahisi kama unavyojaribu kusuggest wewe. Wanaume wote wangekuwa unavyosema wewe hii thread isingeandikwa. Kama unaamini mimi ndiye mwenye mke bado si tatizo lakini huoni kama bado inapingana na imani yako juu ya wanaume? Kama mhusika mkuu ni mimi ina maana tayari nimeweka wazi yaliyonisibu the same kwa mhusika mkuu kuwa rafiki yangu wa karibu. Vyovyote vile bado inaonekana huwa tunazungumzia hata yale unayoamini mwanaume hathubutu.

Kama ulikuwa hujui wanaume tunasimuliana zaidi mambo ya mahusiano kuliko wanawake pamoja na kuwapo misemo kama "Mwanamke Umbea" ukilinganisha na madada. Kama huamini fanya utafiti kidogo tu kitaani. I tell you, utaamini maneno yangu.

Kilichomboa, au kilichoniboa? ni wewe usijifanye kusema sio wewe, hakuna mwanaume anayeweza simulia mwenzake mambo ya ndani kama hivi, haku moja na mwanaume anayependa kujidhalilisha wengi wanakufa na tai shingoni, pole jikaze kiume.........Ona quote yako hii....
Unakumbuka siku uliyopokea simu yangu nilipopigiwa na binti wa kampuni ya simu ukaishia kutukanwa? wewe umepata mwanamke mwingine nahisi
 
Hadi nitakapo soma response toka upande wa pili. Hata hivyo, mapenzi ya kutishiana na kuleta habari za yaliyopita si mapenzi.

Maji ukiyavulia nguo yaoge, sio ooh nili...uli..uki...nita..., unafukunyua ya nyuma ambayo ulisamehe na hukulazimishwa kumvulia nguo huyo unayemuita bitch, sitaki nataka hizo ndugu yangu mtoa mada.

Kweli ulivyosema.
VINAHUSU mtoa mada kuweka mambo binafsi hapa? Mlipoanzana mbona hukuja kutuambia....leo limedoda ndio unakuja hapa!

kweli hustahili kupendwa wewe mtoa mada!
 
Kweli ulivyosema.VINAHUSU mtoa mada kuweka mambo binafsi hapa? Mlipoanzana mbona hukuja kutuambia....leo limedoda ndio unakuja hapa! kweli hustahili kupendwa wewe mtoa mada!
Hivi wanaokujaga na thread za kuomba ushauri wa mambo mbali mbali hua wanakosea kwasababu hawakutushirikisha wakiwa wanaanza ehhh?!
 
Kaka Kwani unamwogopa? nadhani ni bora maneno ya hekima kama hayo umweleze uso kwani uso ili yamwingie vizuri naimani atabadilika sana
 
Thanx Honey! Nimesita kumjibu kwa kuhofia pengine tulisoma pamoja Boarding ktk shule za kiswahili na kudhulumiana donakwamaharagwe na hasira zake hazijaisha. I was just making point na si kutaka jamaa au mie nipendwe na Tausi. I love my self so much and I think it is enough at least to the time I die.
Hivi wanaokujaga na thread za kuomba ushauri wa mambo mbali mbali hua wanakosea kwasababu hawakutushirikisha wakiwa wanaanza ehhh?!
 
Please don't say that! Mapenzi yapo na yataendelea kuwapo tunachotakiwa ni kujifunza namna gani tutaishi vizuri na kufurahia mahusiano yetu. Kasoro zitaendela kuwapo hadi Kiama.

kama mapenzi ndio hivyo bora basiiiiiii,,,
 
Tausi unanilaani haraka kiasi hicho? Basi samahani..... Siku nyingine nitakuawa naandika mada kama hizi kwa maandishi madooooogo ili usiyaone na kunilaani. I was just tryin to make a point. Mkiamua kutonipenda wote duniani nitajipenda mwenyewe halafu muanze kunionea wivu...! Shauri zenu....!
Kweli ulivyosema.
VINAHUSU mtoa mada kuweka mambo binafsi hapa? Mlipoanzana mbona hukuja kutuambia....leo limedoda ndio unakuja hapa!

kweli hustahili kupendwa wewe mtoa mada!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom