Huyo anataka awe demu wako au anataka umuajili?Huyu dem napishana nae kila mara hapa mtaani kwetu na kwa kuwa mimi si mtu wa story sana na washikaji hapa kitaa yaani nikitoka nimetoka nikiingia nimeingia hivyo sijazoeleka sana na watu wengi.
Hawa ndio madem wakuoa sasa mana wana mipangilio mizuri ya pesa ukimweka ndani atakuwa anafanya mambo ya msingiHuyu dem napishana nae kila mara hapa mtaani kwetu na kwa kuwa mimi si mtu wa story sana na washikaji hapa kitaa yaani nikitoka nimetoka nikiingia nimeingia hivyo sijazoeleka sana na watu wengi.
Haha! Ndoo na mfunikoWewe kama unaweza kumpa hizo pesa mpe kama huwezi acha
Wavulana mbona hamna vifua aseee!jambo dogo kama hili umeshindwa kabisa kulimezea,tena ni same old story🙄
😂😂😂Huyu dem napishana nae kila mara hapa mtaani kwetu na kwa kuwa mimi si mtu wa story sana na washikaji hapa kitaa yaani nikitoka nimetoka nikiingia nimeingia hivyo sijazoeleka sana na watu wengi.
Kwani hapo ulipo una sh ngapi mremboWewe kama unaweza kumpa hizo pesa mpe kama huwezi acha
Wavulana mbona hamna vifua aseee!jambo dogo kama hili umeshindwa kabisa kulimezea,tena ni same old story
We utakuwa ndio zakoWewe kama unaweza kumpa hizo pesa mpe kama huwezi acha
Wavulana mbona hamna vifua aseee!jambo dogo kama hili umeshindwa kabisa kulimezea,tena ni same old story
Wanajishusha hadhi sanaWe utakuwa ndio zako
Very poor approachDah,