Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 10,488
- 20,039
Nimehamia kibosho
Haya mkuu, Marium atalimaliza baridi la huko
Nimehamia kibosho
Ashaisoma,yupo humu
Uzuri wa baba wa kiafrica hutakiwi kuzoeleka nyumbanWalevi bwana[emoji134][emoji134][emoji134]
Hebu acha kumpotosha mwenzio.
EeeehHaters watasema limbwata!
Mpende mkeo, ilimradi una amani mkuu hayo ya walimwengu yasikupe tabu!
Kwani alikuwa anaenda wapi etiEeeeh
Mnampoteza huyo
Mke wangu Marium,nampenda sana,nikiwa nae ndani huwa anapata raha sana,ninafua, ninapika..ninamsaidia kuosha vyombo...,sometime ninamuogesha mtoto!
Na ninarudi nyumbani SAA 10 jioni!
Mama natashahrani,nakupenda sana!
Wachaga wanajua kupenda wake zao sana,,, si mlimuona hata mzee wetu MengiMke wangu Marium,nampenda sana,nikiwa nae ndani huwa anapata raha sana,ninafua, ninapika..ninamsaidia kuosha vyombo...,sometime ninamuogesha mtoto!
Na ninarudi nyumbani SAA 10 jioni!
Mama natashahrani,nakupenda sana!
HahaKakutengeneza huyo..shtukaaa jombaa
Mda wa kukaa bar unakaa na mkeo kupika?
Haha haha haaPole mkuu, umepewa limbwata la wapi hilo? Naona bada ya mwaka utakuwa msukule kabisa
Hata sisi tunampenda mkuu!